Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

🤣🤣🤣jamaa mzee wa chenga
Story nyingi zile za vijiwe by kahawa kariakoo na posta
 

Kiukweli am inspired na your story ever since niliamua kusoma mana sikuanza nayo ila kuna jambo nataka nikushauri[emoji2955]

Em acha kutumia nguvu kuwaelezea watu haya mambo ipo ivi kwenye maisha kila mtuu anaamin anachotaka kuamini hata kama icho kitu ni uongo akiamua kuamin huwez badilisha mawazo yake

kwakweli focus tuu na story mambo ya mama J na biashara zake we achana nazo hazina maana hata mana haitabadilisha mitazamo ya watu

kwa mfano sawa mama J ni jembe and staff like that ila watu wanamwona anazingua kwasababu tu humkuli mara kwa mara yani anakubania mbyuthuthu ko unaenda kwa kina prisca kuifata icho kitu kimebadilisha mitazamo ya watu kuhusu mama J

Ko acha kutumia nguvu kuelezea ishu zako pasono wewe na mama j na hata ukituma hizo picha since watu hawataki kuamini ukweli wanafocus kuona story ni Chai[emoji119][emoji119]

Kwakweli stick na upande wa mishe zako tuu acha kutumia nguvu kuwaaminisha kuwa watu hii story sio chai mana haijasaidia toka umeanza kutuma ushahidi tunaoburudika tunaburudika wanaoona story ni chai basi achana nao wanajaza repies tuu mtu unajua story imeendelea kumbe mambishano ya Chai[emoji23][emoji174]
 
🤣🤣🤣Gahawa
 
Unajinyegelesha mwanaume alete story hadithi imeshaisha hapahapa mkuu
 
Kuna kile kipande anasema Yuko na iryn saa nane za usiku akapigiwa simu na mama j Mara akaenda hospital kwa mama wawili Rachel anaumwa au nilisoma vibaya
 
We jamaa mbona kama unazingua au imeisha tujue moja maana nnaona na wewe umekubali kuingia mtego wa wanaokuuliza maswali umeacha kuendelea unahangaika na matutusa wanaotaka kukutoa relini
 
Hehehe sema mwamba anastahili kombe lake kaenda mpaka episodes 50s' bila kustukiwa kama anatumia chumvi ya mawe. Episode iliyopita ndio imevunja kijiwe
Bado hatujasema mpaka tuseme tu amejua kutushikaaaaaaa ila mwana ana bahati ya kupewa Hela daaaah
 
hahaha nimecheka kisenge, Maguire ni mwendo wa maboko tu.


Inaendelea......

Nikaona iryn anaiunia vizuri kiuno na mimi bila hiyana nikamvua bikini yake, sikuamini nilichokiona mbele yangu iryn alikuwa kama alivyozaliwa bila kuchelewa nikampanua vizuri mapaja yake na kushika mashine yangu ili nianze kumpelekea moto gafla nikasikia mbwa wanalia sana nje nikavaa suruali yangu na kwenda kuangalia kuna shida gani, wakati narudi nikamkuta iryn ameshavaa nguo zake huku amefura kwa hasira, sikutaka kumuongelesha kwa kuhofia kumuuzi zaidi nikachukua funguo ya gari na kwenda kwangu kulala.


ITAENDELEA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…