zipo ila kwangu ni maamuzi hata nikitaka nikalale au niendeleze weekend
Mimi mwanzo nilikuwa Kama nakuwa Arosto mbayazipo ila kwangu ni maamuzi hata nikitaka nikalale au niendeleze weekend
Hahahahah[emoji23] very funNiliwaahidi ntawapostia leo jumapili saa 2200. Muda huo nikataka kupost mara simu ikaita. Lucy alikua anapiga anataka nimpeleke golden fork. Ikabidi niende kumfata kwao kimara. Tukiwa tunaenda golden fork mara muda huu simu ikaanza kuita kumbe ni jane anapiga.
Anasema mbwa wamekula pilipili pili. Ikabidi nmshushe lucy niende mbweni kwa jeni nkaone.
nilipo mind ni eva kuona watu wameka na kuanza kuongea mambo kama yale.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2960] eti junior amemeza kijikoNa vipi kuhusu hali ya kuweweseka kwa Bwana Insider siku kadhaa baada ya kifo cha Mzee Pama[emoji16]....Usiku alikua anamuota sana na kuweweseka[emoji23]
Siku atatuambia "Ile nataka kumvua bra Iryn , ghafla nikasikia simu ikiita, kucheck alikua ni Mama J, nikakuta na ujumbe wapo Mloganzila Junior kameza kijiko" na utaamini[emoji16]
Professor Lumumba alisema "
No matter how good you are, if you stay for too long you will spoil it. A good dancer should know when to leave the stage "
Kupitia story yako tumejifunza mengi sana , hatakama ni chai au sio chai hilo unajua wewe, ila umetuongeza kitu kwenye maisha yetu . Asante sana !!
Story haikutakiwa kufika huku ingeishia Episode ya 40 or 30 huko naamini ungekuwa shujaa mbele za watu wengi na moja kati ya waandishi bora kabisa hapa Jf. Tofauti na sasa umekuja kuonekana mtu wa muongo na muhuni..
Mwisho, Ndugu INSIDER MAN bado tunatamani kujua mwendelezo , usikate tamaa ukaishia njiani malizia story.....
Web results
https://steemit.com/life/@christianosei/a-good-dancer-must-know-when-to-leave-the-stage
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Baada ya watu kumshtukia bwana INSIDER MAN sasahivi ameenda kuedit baadhi ya visa maana ameshaona sasahivi watu wapo wanasoma nukta kwa nukta na kuunganisha dots ni rahisi kustukia uongo wake ambae ameujazia
kuna uzi una viewers 10mTumeshafika 2m tulio view huu Uzi naona jamaa amefunja record ,hakuna story imekwenda views 2 m tokea mm kujiunga jf 2015
Sisi tuliokataa hizi chai zake inabidi mtushukuru Sanaa.....maana naona Kama jamaa inabidi aboreshe hizi chai zake Kama aliweka mchaichai TU.......inabidi aongezee iliki karafuu na viungo vingine ili iwavutie nyie wapenda Chai......namuelewa sana just mpeni muda anatengenezee chai yenu wakuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yaani we acha hata mtu hujui Yuko nani unaanza kulopwekwanilipo mind ni eva kuona watu wameka na kuanza kuongea mambo kama yale.
Wala mi sijakutukana chiefHAMCHOKI KUTUTUKANA, KISA TU TUNAFIKIRIA TOFAUTI NA NYIE
sasa mambo ya kuambiana sijui nyege nyege ndo nn? sio poa mkuu, tukubali hoja kinzani,Wala mi sijakutukana chief