Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Tuko hapa kwa sasa!!
 

Attachments

  • 5BCFEE63-AF78-4DA0-9530-B5A4279BB7FA.jpeg
    5BCFEE63-AF78-4DA0-9530-B5A4279BB7FA.jpeg
    19.2 KB · Views: 2
Niliwaahidi ntawapostia leo jumapili saa 2200. Muda huo nikataka kupost mara simu ikaita. Lucy alikua anapiga anataka nimpeleke golden fork. Ikabidi niende kumfata kwao kimara. Tukiwa tunaenda golden fork mara muda huu simu ikaanza kuita kumbe ni jane anapiga.

Anasema mbwa wamekula pilipili pili. Ikabidi nmshushe lucy niende mbweni kwa jeni nkaone.
Hahahahah[emoji23] very fun
 
Na vipi kuhusu hali ya kuweweseka kwa Bwana Insider siku kadhaa baada ya kifo cha Mzee Pama[emoji16]....Usiku alikua anamuota sana na kuweweseka[emoji23]

Siku atatuambia "Ile nataka kumvua bra Iryn , ghafla nikasikia simu ikiita, kucheck alikua ni Mama J, nikakuta na ujumbe wapo Mloganzila Junior kameza kijiko" na utaamini[emoji16]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2960] eti junior amemeza kijiko
 
Professor Lumumba alisema "
No matter how good you are, if you stay for too long you will spoil it. A good dancer should know when to leave the stage "

Kupitia story yako tumejifunza mengi sana , hatakama ni chai au sio chai hilo unajua wewe, ila umetuongeza kitu kwenye maisha yetu . Asante sana !!

Story haikutakiwa kufika huku ingeishia Episode ya 40 or 30 huko naamini ungekuwa shujaa mbele za watu wengi na moja kati ya waandishi bora kabisa hapa Jf. Tofauti na sasa umekuja kuonekana mtu wa muongo na muhuni..

Mwisho, Ndugu INSIDER MAN bado tunatamani kujua mwendelezo , usikate tamaa ukaishia njiani malizia story.....




Web results​

https://steemit.com/life/@christianosei/a-good-dancer-must-know-when-to-leave-the-stage

Sahihi
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sisi tuliokataa hizi chai zake inabidi mtushukuru Sanaa.....maana naona Kama jamaa inabidi aboreshe hizi chai zake Kama aliweka mchaichai TU.......inabidi aongezee iliki karafuu na viungo vingine ili iwavutie nyie wapenda Chai......namuelewa sana just mpeni muda anatengenezee chai yenu wakuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hii siyo chai naamini kwa asililimia 100%,
Kwani story imekaa kwa mpangilio mzuri wa kueleweka tofauti na hapo Kama ni chai ungekuta kashajichanganya sehemu pia kwa wakati mwingine Kama binadamu kwa matukio yaliyo pita waweza Changanya.

Maswali wanayouliza wanao sema ni chai ni ya kawaida mnoo
Mf:Hili la kwa Mzee Pama Insaderman kuweweseka ni kawaida mnoo, unaweza kutana na mtu Maishani mkashibana kuliko ndugu au mzazi akawa Kama Mzazi Rafiki na Mshauri kwa wakati mmoja kwanini usiumie akitoweka .
Kaka yangu alifiwaga na Rafiki yake akawa Kama mwehu ,akawa anasema heri angekufa yeye,haya yapo.

Hili la kwa Lyin hata Mimi nilisha lifanya,Nimechukua chumba na demu tena nilikuwa Bachela ,kufika ndani katika story akaniuliza kabila nilipo mtajia akasema hapana silali nakuogopa akataka kuondoka usiku saa Saba na madakika nikamwambia kwanini uondoke ukivamiwa na vibaka usiku huu au likitokea tatizo ntaingia matatani na ilionekana nimeondoka na wewe ,akakubali ushauri akasema tulale ila tusifanye chochote nikakubali ,kweli tukajifunika shuka moja mpaka saa kumi na moja ndio anaanza kuniangalia anatabasamu Mimi kimya, Mara aniwekee mguu Mara mkono anishike mb-o akakuta kitu kipo chuma
Ila ndio sitaki nikamwambia tuheshimu makubaliano akaanza tena kuchukua akanipokonya na simu alipoona nipo bize nayo na bado sikupiga
Saa kumi na mbili huyo nikaingia bafuni nikaoga nikamuaga naondoka nikachukua simu ,akuamini akaanza kujiliza Mimi huyo nikafungua mlango nikang`oa .
Ilikuwa tukionana hataki kabisa tukutane kwani hakuwa anaishi mbali

Kumbuka Lyin na Insaderman ni mtu na boss hivyo alivyo ambiwa simu inaita ata yeye mwenyewe alikuwa anaisikia hivyo ile kauli na kweli unapoishika simu na ujumbe unaokutana nao unakutoa kwenye Rali ,kwani pia unakuwa na wasiwasi naweza nikabaki na nisile Tunda kwa kauli ya pokea aua usikii simu unawaza pengine ni namna ya kunitoa kwake ,na pia aliyenipigia ananihitaji kwanini asimpigie mwingine lazima uone Kama wewe nu msaada kwake hata alipo mweleza Lyin angejibiwa achana naye njoo tuinjoy.

Pia swala la lyin kutoa laki tatu ni kawaida Sana kwani ali msaport Insaderman Mara nyingi watu wanaojitambua huunga mkono swala jema ukizingatia hela anazo na ndio maana anafadhili hata yatima.

Mtu mwenye Roho mbaya na Mchawi Daima hapendi kumwona mwenzake akipiga hatua au akipitia katika kipindi kizuri katika maisha na ndivyo ilivyo hapa Jf watu wanaumia Sana .
Pia watu wapumbavu wasiyo elewa maana ya maisha na kudhibiti pamoja na kuheshimu hisia zako na za mwingine wanachukia na kufura kwa tukio la kutokuliwa kwa Lyin au inapotokea wapo katika hali flani wanakatishwa na Jambo flani hilo lipo tena Sana tu,Alafu unakuta ni mwanamke mmoja mpaka unawaza labda Kuna kitu Mungu ananiepusha nacho.
Mwisho Kuna upumbavu kiwango cha lami watu wanauliza swali ni kweli ni haki yako unajibiwa bado unakaza hukubaliani na majibu huu ni zaidi ya upumbavu kwani una majibu yako na haupo tayari kubadilika na ndio maana ya mpumbavu hafundishiki.

Mimi binafsi naona hii ni story ya kweli kwani hakuna swali lililoshidwa kujibiwa na pia hakuna maruweruwe kwa walio makini kwa ufwatiliagi au kisa kilichojitokeza gafla bila mtiririko wa story
 
Mara ya kwanza kumla mate ilikuwa kawaida kukatishwa mana angepita hata mtu na baja lake lenye makelele lingewatoa kwenye rail.

Huyu eva kukuita vile ungetakiwa kumkata jicho huko mbali kuwa anyamaze waafrika sisi tunajuana matukio yetu wachache sana sio majambazi ( wote ni innocent lakn uhuni upo kwa damu )

Unajua musa alimshauri Mungu kuwa usiwaangamize watu hawa mana watu wengine watajisifu kuwa hukuwatimizia ahadi yao na kuwa uwa jangwani.

Endelea na story na huko poripoa ntaenda next week nikitoka tegeta kweny shughul zangu.
 
Back
Top Bottom