Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Mpwa INSIDER MAN unakosea sana, wakati mwingine najikuta natamani kukwambia "UNAFANYA MAMBO YA KIPUMBAVU SANA" lakini najikuta nasita, hivi hata wana ukoo wakisikia kila siku umekuwa mtu wa kupaisha tu mipira hata kama umebaki na goli si utalaaniwa na kutengwa na ukoo wote.

Hizi dharau za kutandikwa makofi hadi masikio yanalia nziiiiiiiii.......umezitafuta mwenyewe mpwa, kale ka Prisca ushakatandika mkia ilitakiwa uwe unapuuzia simu zake ukiwa na huyo shemeji sijui unamuita Irene, tumia mifumo ya makondakta wa daladala, abiria akishaingia ndani tu huyo tayari hana umuhimu kwake anapewa kipaumbele yule aliye nje.

Irene keshaingia kwenye mfumo siku nyingi sana tangu episode za mwanzo tu huko ila wewe ulikuwa unajitoa akili mpwa, hebu jitahidi kufanya mambo basi kwenye hizi episode chache zilizobaki umlime mkia.
 
Mapenzi meengi.mwanzo alianza vizuri sana
 
na tunajua hii Ni sifa ya kuteka Moyo wa mwanamke Yoyote iwe Ni kweli au kwa kudanganya pia

Hata wewe mwanaume kakuteka sanaaaaaa.. ndio maana wewe na wenzako wengi mnamsoma.

Wanaume mmejaa humu wengi..

Lingine.. acha wivu wa kusema ni chai..

Binadamu hatupo sawa maishani..
 
Ila hilo wazo lako la kuajiri msichana kupitia hapa JF na huku ukiwa umeiweka hii story hapa itakuharibia. Kwa vyovyote vile huyo mfanyakazi atakujaga kusema kwa wafanyakazi wengine kuhusu hii story ya JF na watasoma huu uzi namna ulivyo waanika au ulivyo muanika boss wao Iryn. This is not good for your reputation especially kama bado mko in good terms.
To my opinion tafuta mfanyakazi ambaye hajui habari za JF na story yako itabaki kuwa anonymous. Inaonyesha bado una utoto fulani hivi na sometimes ni kama vile hujakomaa hasa katika maamuzi yako. Kuna vimistake vingi unavifanya ambavyo ukiangalia inaonekana age inachangia. Just Take care and don't trust people you meet online watakuharibia tu.
 
Insider nipo hapa downhill namuona prisca yupo na eva wanakuongelea sana mzee shida nn
Mkuu hiyo utarudi ni ndani ya wiki au weeknd maana hilo neno bana limekaa kimajumuhi sana
 
upo sahii mwana yaani hapo alitakiwa ajirushe chn, anaanza kuweweseka kama mtu wa kifafa iryn mwenyewe angejileta hapo chini na kuanza kujitahidi kumpa first aid, then angefufuka na hapo ishu ingeisha,
anyways. the fictioner at work.

Kwani Kila mtu ana akili sawa kufikiria au kufanya sawa na wengine Kila kitu?

Hata wewe ni wale wale.. ila Bado unamsoma.
 

Mwanaume hajisifii
Ila watu watakukubali tu kwa nafasi yako
 
Umempa ushauri mzuri sana maana siyo kila mtu anasoma hapa anamtakia mema wengine wako kutaka kumwaribia na mbaya zaidi ni pale mtu atakapo bahatika kuwafahamu wahusika alafu akawafungulia mafile yote, utaonekana ni bonge la fala na mshamba sana, ni bora ukatafuta wafanyakazi sehemu nyingne pasipo julikana, kabisa itakusaidia na itakuwekA salama zaidi wewe na mke wako na hata hao marafiki zako,
Chukua ushauri wa mwana huyu INSIDER MAN
 
Umeongea kitu kikubwa sanaa
 
Mkuu Insider ikikupendeza tunaomba utubariki na kipande kimoja kabla hujaanza kupitia episodes zote. Utatuacha na arosto ya kutosha .
 
Mpenzi..... boss wako anakupiga kofi unasema haliumi 😂 mpaka aseme
 
Point. Insider tafadhali zingatia hili though naona it's too late maana umesema wataanza kupigiwa simu maana yake CV zishafika na kupitiwa na uongozi ila trust me hii ni mbaya mnooo! Imagine Iryn anapewa story halafu anaingia kusoma anakutana na baadhi ya sehemu ya story zenye ukakasi kama ile unasema 'Inabidi nimle Iryn ili kumziba mdomo'!

Kazi kwako hapa.
 

Upo sahihi hata mimi nililifikiria before sijaamua kutoa fursa kwa wana JF, humu JF sio kwamba hawapo watu wema wapo wengi sana, wajinga wachache wasifanye wengine wakose fursa. Mimi ni mtoaji na sinaga kinyongo hii ndo nature yangu na wenye shida humu JF ni wanaume na sio wanawake.

Na position ipo kwenye kampuni nyingine kabisa sio ya Iryn ni vile mama Janeth anamsaidia rafiki yake kupata huyu mtu. Atafanyiwa interview na ataunganishwa na huyo mtu, mimi nimefanya kwa nia njema.

Kingine hapa JF nafahamiana na watu wengi sana na wengi wananijua na wanaisoma hii story. Hakuna nilichoandika cha uongo hapo wala kutunga so hii ni kama LIFE STORY YANGU, kama wengine wanavyoandika za kwao. Acheni uoga vijana naona mna ioverrate sana JF, mimi kama mtu anajitambua naonana naye vizuri kabisa niogope nini?

Mwisho hakuna wa kunitisha hapa JF.
 
Kwani Kila mtu ana akili sawa kufikiria au kufanya sawa na wengine Kila kitu?

Hata wewe ni wale wale.. ila Bado unamsoma.
dada punguza makasiriko hz ni burudani tu, dont take it too serious my love. pressure itapanda, utaanguka, utakufa, tutakuzika na kukusahau.
 
Boss ndan ya wiki hii utashusha episode nyingine?
 
For the future reference jamaa anajiharibia na anaondoa trust kwa wale waliomwamini na kumweshimu, maana mwisho wa siku usije shangaa watu wanamtafuta hata mjane wa mzee Pama na hata camila na baba yake hivyo kuwa makini sana, utajiharibia mwenyewe ukihisi unasaidia walimwengu, kumbe unaandaa anguko lako mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…