Brother suala la Fursa angalia njia nyingine inawezekana umepost kwa mazuri lakini you have to be careful, hata kama ni kampuni nyingine rafiki wa mama Janeth, think
Mimi kama mwenyekiti wa kamati ya Roho mbaya hizo CV acha nazo na usithubutu kuonana na watu wapya nje na unaowajua, kama mazungumzo weka email, unakumbuka ulilamika walianza kuweka personal ishu zako??
So kila mtu ana jema kuna mwingine hapo anataka kufanya Research tu, sikiliza ushauri wa wana huko juu hata mimi naunga mkono.
una Roho ya kusaidia but try it on another way. Wewe ni classmate wangu lazima nikushauri, hizo CV zipige chini.