Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Ahsante kwa ushauri bro but huyu mtu anakwenda ofisi zingine kabisa sio kampuni hii, but nitayafanyia kazi mawazo yenu.
Bro, Issue sio kwenda kampuni nyingine issue ni kuwa yuko connected na Mama Janeth na yeye atakuwa curious kumfahamu Iryn lazima afanye njia yoyote kuprove kile ulikuwa unasimulia Hapo hapo ndo kitaharibika
 
ANNOUNCEMENT

Nitarudi kwenu kumalizia hii story pindi nitakapo maliza kuzipitia Episode zote. Hapa sasa nitaanza kuzipost na story itaishia na Episode ya 70, tuna Episode 8 tu zimebaki.

Niko busy na kuweka mambo sawa maana mwezi huu natarajia kuanza Masomo yangu ya masters Mungu akijalia uzima.

Kwa wale ambao mna ni-Pm nashindwa kureply mtanisamehe maana nakutana na message nyingi sana ila nitazijibu. Nikimaliza hii story wale wenye maswali nitawajibu, wale ambao mnataka kufanya biashara lakini hujui location tutapeana connection.

Kwa wale ndugu zangu “Ladies” kama mpo humu ndani mliomba ile nafasi ya kazi kuanzia kesho mtapigiwa simu kama utakuwa una qualifications nzuri, na Interview itakuwa Jumamosi na ukibahatika kuitwa utaweza kuonana na Mama Janeth na Lucy LIVE.

Naomba muwe na subira mambo mazuri yako njiani, mpaka sasa aliyepatia kuotea mwisho wa hii story ni mmoja tu na aliotea mwanzoni kabisa wakati mambo hayajaanza kukolea. Huyu nitaitafuta comment yake na nitampa zawadi sijui kama bado yuko online.

JIONI NJEMA.
Isije tu kua ile comment ya Lryn kufariki mhhh hapana hapana.
Antonnia Kaparo Kalpana
 
Brother suala la Fursa angalia njia nyingine inawezekana umepost kwa mazuri lakini you have to be careful, hata kama ni kampuni nyingine rafiki wa mama Janeth, think

Mimi kama mwenyekiti wa kamati ya Roho mbaya hizo CV acha nazo na usithubutu kuonana na watu wapya nje na unaowajua, kama mazungumzo weka email, unakumbuka ulilamika walianza kuweka personal ishu zako??

So kila mtu ana jema kuna mwingine hapo anataka kufanya Research tu, sikiliza ushauri wa wana huko juu hata mimi naunga mkono.

una Roho ya kusaidia but try it on another way. Wewe ni classmate wangu lazima nikushauri, hizo CV zipige chini.
 
Got you bro Ahsanteni ndugu zangu kwa ushauri sikuwaza deep sana, zebri said Fohadi Village-in miles45 A man with no name nknk
 
Nimechunguza nikaona Kati ya wote wanaomshaur INSIDER MAN asitoe connection ya kaz Kwa member wa hum hakuna hata mmoja ambaye ana japo miaka 10 hum jamvini.

Ninavyojua Mimi people's wapo different popote iwe jf au nje ya jf.

INSIDER MAN kikubwa ni nia na dua

Hum jf kuna watu wazur Sana Sana. Nimeish hapa dunian miaka ya kutosha lakin wana jf niliowah kufahamiana nao wengi ni watu wazuri Sana saaana kuliko hata niliofahamiana nao mitaani.
 
Back
Top Bottom