Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 16,908
- 19,123
Hakuna member anaeweza kufuta comment ya mwingine zaidi ya mod peke yaoMwandishi acha kufuta comments zangu.....hii stori yako Ni chai ila nakupa respect kwa episodes 30 za mwanzo..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna member anaeweza kufuta comment ya mwingine zaidi ya mod peke yaoMwandishi acha kufuta comments zangu.....hii stori yako Ni chai ila nakupa respect kwa episodes 30 za mwanzo..
Mapenzi meengi.mwanzo alianza vizuri sanaStori ilianza ikiwa ya ukweli lakini baada ya kupata umaarufu basi jamaa kaamua kuiweka iwe na vitu vingi vya kutunga.
Leo ndio mara ya kwanza naweka komenti na ndio mara ya tatu ninaisoma juujuu na kuruka vitu vingi visivyo na muelekeo.
Ikishafikia hatua kama hiyo huwa naachana na mwandishi.
Kila la kheri mnapoendelea.
na tunajua hii Ni sifa ya kuteka Moyo wa mwanamke Yoyote iwe Ni kweli au kwa kudanganya pia
Ila hilo wazo lako la kuajiri msichana kupitia hapa JF na huku ukiwa umeiweka hii story hapa itakuharibia. Kwa vyovyote vile huyo mfanyakazi atakujaga kusema kwa wafanyakazi wengine kuhusu hii story ya JF na watasoma huu uzi namna ulivyo waanika au ulivyo muanika boss wao Iryn. This is not good for your reputation especially kama bado mko in good terms.ANNOUNCEMENT
Nitarudi kwenu kumalizia hii story pindi nitakapo maliza kuzipitia Episode zote. Hapa sasa nitaanza kuzipost na story itaishia na Episode ya 70, tuna Episode 8 tu zimebaki.
Niko busy na kuweka mambo sawa maana mwezi huu natarajia kuanza Masomo yangu ya masters Mungu akijalia uzima.
Kwa wale ambao mna ni-Pm nashindwa kureply mtanisamehe maana nakutana na message nyingi sana ila nitazijibu. Nikimaliza hii story wale wenye maswali nitawajibu, wale ambao mnataka kufanya biashara lakini hujui location tutapeana connection.
Kwa wale ndugu zangu “Ladies” kama mpo humu ndani mliomba ile nafasi ya kazi kuanzia kesho mtapigiwa simu kama utakuwa una qualifications nzuri, na Interview itakuwa Jumamosi na ukibahatika kuitwa utaweza kuonana na Mama Janeth na Lucy LIVE.
Naomba muwe na subira mambo mazuri yako njiani, mpaka sasa aliyepatia kuotea mwisho wa hii story ni mmoja tu na aliotea mwanzoni kabisa wakati mambo hayajaanza kukolea. Huyu nitaitafuta comment yake na nitampa zawadi sijui kama bado yuko online.
JIONI NJEMA.
Insider nipo hapa downhill namuona prisca yupo na eva wanakuongelea sana mzee shida nn
Mkuu hiyo utarudi ni ndani ya wiki au weeknd maana hilo neno bana limekaa kimajumuhi sanaANNOUNCEMENT
Nitarudi kwenu kumalizia hii story pindi nitakapo maliza kuzipitia Episode zote. Hapa sasa nitaanza kuzipost na story itaishia na Episode ya 70, tuna Episode 8 tu zimebaki.
Niko busy na kuweka mambo sawa maana mwezi huu natarajia kuanza Masomo yangu ya masters Mungu akijalia uzima.
Kwa wale ambao mna ni-Pm nashindwa kureply mtanisamehe maana nakutana na message nyingi sana ila nitazijibu. Nikimaliza hii story wale wenye maswali nitawajibu, wale ambao mnataka kufanya biashara lakini hujui location tutapeana connection.
Kwa wale ndugu zangu “Ladies” kama mpo humu ndani mliomba ile nafasi ya kazi kuanzia kesho mtapigiwa simu kama utakuwa una qualifications nzuri, na Interview itakuwa Jumamosi na ukibahatika kuitwa utaweza kuonana na Mama Janeth na Lucy LIVE.
Naomba muwe na subira mambo mazuri yako njiani, mpaka sasa aliyepatia kuotea mwisho wa hii story ni mmoja tu na aliotea mwanzoni kabisa wakati mambo hayajaanza kukolea. Huyu nitaitafuta comment yake na nitampa zawadi sijui kama bado yuko online.
JIONI NJEMA.
upo sahii mwana yaani hapo alitakiwa ajirushe chn, anaanza kuweweseka kama mtu wa kifafa iryn mwenyewe angejileta hapo chini na kuanza kujitahidi kumpa first aid, then angefufuka na hapo ishu ingeisha,
anyways. the fictioner at work.
Huyu mwandishi(insider man)
1...kwenye uandishi yupo vizuri Sanaa hakuna mtu anapinga ata Mimi #redfrog najifunza technique za kuwa muandishii Bora Kama yeye.
2...pia anakipaji kikubwa sana kupanga matukio kuendana na story...narudia hii Ni kipaji sio kila mtu analiweza hili...hata Mimi najifunza hili kutoka kwake
3.... Innocence:ukijiuliza kwanini mademu wa humu Jf wanaipenda hii story moja ya sababu iko wazi huyu mwandishi na uandishi wake unaonesha Yuko innocent au tuseme Ni mkweli/muwazi/sio mdanganyifu(kutokana na maelezo yake lakini) kwenye kila matukio anayoongea....na tunajua hii Ni sifa ya kuteka Moyo wa mwanamke Yoyote iwe Ni kweli au kwa kudanganya pia
4.....mwisho:hii story binafsi sijaona typing error Yoyote.....hakuna makosa ya matamshi mfano 'L' na 'R'
KWANINI NIMEONA HII STORY NI CHAI CHAIII CHAI!!!!!!
nilishasema Sanaa
1....zile episode 30 za mwanzo jamaa alikuwa anaelezea matukio kweli Ni ngumu kujua Kama ilikuwa Ni CHAI CHAI CHAI(maybe yes maybe not also) ....Mimi Kama #REDFROG nilijifunza vitu vingi nikiri
2.....Baada ya hapo hakuwa na jipya uongo mwingi anatupanga TU mpaka tunavyoongea now....ndio maana nilisema kwa mawazo yangu huenda hii story ilitakiwa kuisha kwenye episode za 30s(based on positivity mindset yangu)....au pia ni chai mwanzo mwisho(negativity)
SOLUTION/qn
1....Inawezekana mwanzo ilikuwa Ni true story ila mwandishi kaamua kuEXTEND kwa kuiongezea chumvi ili kuwadaka wengi(Kama nilivyosema hapo juu)???
2....Au hii Ni FICTIONAL(CHAI CHAI) Kama wenzangu wanavyowaza???
NB:majibu ya mihemko nitakuzingua......Soma elewa jibu kwa fact #REDFROG
Umempa ushauri mzuri sana maana siyo kila mtu anasoma hapa anamtakia mema wengine wako kutaka kumwaribia na mbaya zaidi ni pale mtu atakapo bahatika kuwafahamu wahusika alafu akawafungulia mafile yote, utaonekana ni bonge la fala na mshamba sana, ni bora ukatafuta wafanyakazi sehemu nyingne pasipo julikana, kabisa itakusaidia na itakuwekA salama zaidi wewe na mke wako na hata hao marafiki zako,Ila hilo wazo lako la kuajiri msichana kupitia hapa JF na huku ukiwa umeiweka hii story hapa itakuharibia. Kwa vyovyote vile huyo mfanyakazi atakujaga kusema kwa wafanyakazi wengine kuhusu hii story ya JF na watasoma huu uzi namna ulivyo waanika au ulivyo muanika boss wao Iryn. This is not good for your reputation especially kama bado mko in good terms.
To my opinion tafuta mfanyakazi ambaye hajui habari za JF na story yako itabaki kuwa anonymous. Inaonyesha bado una utoto fulani hivi na sometimes ni kama vile hujakomaa hasa katika maamuzi yako. Kuna vimistake vingi unavifanya ambavyo ukiangalia inaonekana age inachangia. Just Take care and don't trust people you meet online watakuharibia tu.
Umeongea kitu kikubwa sanaaIla hilo wazo lako la kuajiri msichana kupitia hapa JF na huku ukiwa umeiweka hii story hapa itakuharibia. Kwa vyovyote vile huyo mfanyakazi atakujaga kusema kwa wafanyakazi wengine kuhusu hii story ya JF na watasoma huu uzi namna ulivyo waanika au ulivyo muanika boss wao Iryn. This is not good for your reputation especially kama bado mko in good terms.
To my opinion tafuta mfanyakazi ambaye hajui habari za JF na story yako itabaki kuwa anonymous. Inaonyesha bado una utoto fulani hivi na sometimes ni kama vile hujakomaa hasa katika maamuzi yako. Kuna vimistake vingi unavifanya ambavyo ukiangalia inaonekana age inachangia. Just Take care and don't trust people you meet online watakuharibia tu.
INSIDER MAN mbna hakuna picha Kaka au sioni pekee angu😅Hapa niko na Manuel aka Mzee wa kupeleka moto, [emoji23][emoji23]. Hapa tuko JNIA kabla sijaenda kupigwa kibao huko,
Mpenzi..... boss wako anakupiga kofi unasema haliumi 😂 mpaka aseme"close, nilijaribu kumvuta nimpe kisi lakini niliishia kuchapwa na kibao cha nguvu sana muda huu, "
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣!
Mundele Makusu sasa nimeelewa hahahaaa!!
Sema kofi la mupenzi haliumi hasa la mupenzi ke🤠!
Point. Insider tafadhali zingatia hili though naona it's too late maana umesema wataanza kupigiwa simu maana yake CV zishafika na kupitiwa na uongozi ila trust me hii ni mbaya mnooo! Imagine Iryn anapewa story halafu anaingia kusoma anakutana na baadhi ya sehemu ya story zenye ukakasi kama ile unasema 'Inabidi nimle Iryn ili kumziba mdomo'!Ila hilo wazo lako la kuajiri msichana kupitia hapa JF na huku ukiwa umeiweka hii story hapa itakuharibia. Kwa vyovyote vile huyo mfanyakazi atakujaga kusema kwa wafanyakazi wengine kuhusu hii story ya JF na watasoma huu uzi namna ulivyo waanika au ulivyo muanika boss wao Iryn. This is not good for your reputation especially kama bado mko in good terms.
To my opinion tafuta mfanyakazi ambaye hajui habari za JF na story yako itabaki kuwa anonymous. Inaonyesha bado una utoto fulani hivi na sometimes ni kama vile hujakomaa hasa katika maamuzi yako. Kuna vimistake vingi unavifanya ambavyo ukiangalia inaonekana age inachangia. Just Take care and don't trust people you meet online watakuharibia tu.
Tena hadi sikioni unasikia nziiiiiiii nziiiiii 🤠🤠🤠!Mpenzi..... boss wako anakupiga kofi unasema haliumi 😂 mpaka aseme
Ila hilo wazo lako la kuajiri msichana kupitia hapa JF na huku ukiwa umeiweka hii story hapa itakuharibia. Kwa vyovyote vile huyo mfanyakazi atakujaga kusema kwa wafanyakazi wengine kuhusu hii story ya JF na watasoma huu uzi namna ulivyo waanika au ulivyo muanika boss wao Iryn. This is not good for your reputation especially kama bado mko in good terms.
To my opinion tafuta mfanyakazi ambaye hajui habari za JF na story yako itabaki kuwa anonymous. Inaonyesha bado una utoto fulani hivi na sometimes ni kama vile hujakomaa hasa katika maamuzi yako. Kuna vimistake vingi unavifanya ambavyo ukiangalia inaonekana age inachangia. Just Take care and don't trust people you meet online watakuharibia tu.
dada punguza makasiriko hz ni burudani tu, dont take it too serious my love. pressure itapanda, utaanguka, utakufa, tutakuzika na kukusahau.Kwani Kila mtu ana akili sawa kufikiria au kufanya sawa na wengine Kila kitu?
Hata wewe ni wale wale.. ila Bado unamsoma.
Boss ndan ya wiki hii utashusha episode nyingine?Upo sahihi hata mimi nililifikiria before sijaamua kutoa fursa kwa wana JF, humu JF sio kwamba hawapo watu wema wapo wengi sana, wajinga wachache wasifanye wengine wakose fursa. Mimi ni mtoaji na sinaga kinyongo hii ndo nature yangu na wenye shida humu JF ni wanaume na sio wanawake.
Na position ipo kwenye kampuni nyingine kabisa sio ya Iryn ni vile mama Janeth anamsaidia rafiki yake kupata huyu mtu. Atafanyiwa interview na ataunganishwa na huyo mtu, mimi nimefanya kwa nia njema.
Kingine hapa JF nafahamiana na watu wengi sana na wengi wananijua na wanaisoma hii story. Hakuna nilichoandika cha uongo hapo wala kutunga so hii ni kama LIFE STORY YANGU, kama wengine wanavyoandika za kwao. Acheni uoga vijana naona mna ioverrate sana JF, mimi kama mtu anajitambua naonana naye vizuri kabisa niogope nini?
Mwisho hakuna wa kunitisha hapa JF.
For the future reference jamaa anajiharibia na anaondoa trust kwa wale waliomwamini na kumweshimu, maana mwisho wa siku usije shangaa watu wanamtafuta hata mjane wa mzee Pama na hata camila na baba yake hivyo kuwa makini sana, utajiharibia mwenyewe ukihisi unasaidia walimwengu, kumbe unaandaa anguko lako mwenyewePoint. Insider tafadhali zingatia hili though naona it's too late maana umesema wataanza kupigiwa simu maana yake CV zishafika na kupitiwa na uongozi ila trust me hii ni mbaya mnooo! Imagine Iryn anapewa story halafu anaingia kusoma anakutana na baadhi ya sehemu ya story zenye ukakasi kama ile unasema 'Inabidi nimle Iryn ili kumziba mdomo'!
Kazi kwako hapa.
Boss ndan ya wiki hii utashusha episode nyingine?