Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Usitukane mamba kabla hujavuka mto.......na una ushahidi upi kuwa wanaume Wana shida sana huku JF kuliko wanawake??

Ila ushauri wake ni mzuri mfanyakazi asijekuwa Sumaiya pro max
 
Ndg, hawajakutisha ila wamekupa tahadhari kulingana na hulka na tabia za walimwengu unaweza kuwa na nia njema lakini mwenzio hajuwazi mema hata kidogo, kumbuka wengi humu wana wivu na hasira na aina ya maisha na bahati ulizo nazo hivyo siyo vibaya kuchukua tahadhari mku ni maoni tuu una haki ya kuyafanyia kazi au kuyapuuzia ndg, uamuzi ni wako
 

Hivi mfano mtu anamtafuta Jane kwanza anampataje? Kila kitu hapo kipo kwa Code mimi ndo nazijua taarifa vizuri.
 
dada punguza makasiriko hz ni burudani tu, dont take it too serious my love. pressure itapanda, utaanguka, utakufa, tutakuzika na kukusahau.
Ipande kisa!!!
Wewe ni mmoja wa wasio fahamu kuburudika humu JF.. umejiandika wewe.
 
Usitukane mamba kabla hujavuka mto.......na una ushahidi upi kuwa wanaume Wana shida sana huku JF kuliko wanawake??

Ila ushauri wake ni mzuri mfanyakazi asijekuwa Sumaiya pro max
Itakua kuna msururu waliomfata pm na wengine walikua wanakoment humuhumu kuhusu kukutana nae awasaidie kwa namna moja ama nyingine kuhusu magari yao n.k !

Just guessing lakini!!!!

Acha nisubirie store!
Akitupia msinisahau wapendwa!!

Kesho nayo siku ✌️!
 
Sio
Ndio mana nikakwambia una utoto kwa kiasi fulani. Hata maongezi yako yanaonyesha wewe bado hujagonga 30 au uko early 30s. Anyway mimi niliangalia future yako na hao mabosi zako na haya uliyoyatangaza humu. Siku ukikua mkubwa utayakumbuka haya niliyokwambia. All the best
 
Asipo kuelewa hapa ndio basi tena
 
Mkuu INSIDER MAN kupitia hii story yako imenifunza vitu vingi sana na Kila jambo huwa linatokea kwa sababu zake. Lakini ujinga wa watu wengi wanao comment humu ni kwamba wana roho mbaya na walitamani ndio wangekuwa wao hasa hawa wanao comment na kureply matusi. Kinachotusumbua Watanzania wengi ni msongo wa mawazo na kuwa na matarajio yasiyotekelezeka. Sipendi ku reply kwa huu uzi lakini usikate tamaa endelea kushusha story ili kuwa inspire wale wanao waza kwamba hakuna lisilowezekana.
 
Yaani ndugu INSIDER MAN ukitaka kuiona dunia hii chungu ni kumwajiri mtu yoyote anaeijua hii story na ajue sehemu ya ofisi zenu. Hilo litakuwa kosa la mwaka. Kuna mambo huwezi kuyatengeneza yakakaa sawa yakiharibika.
.
Kitendo cha mtu kuajiriwa hapo anaeijua hii story ujue tu utaanikwa nje ndani. Fikiria mara mbili hata kama hujali kuhusu Iryn unamjali mama J tu basi nina uhakika hata mama J utamkosa jumla,kuna uwezekano na mambo yako mengi yakaharibika.

Iryn akiujua umemuanika humu hakika litakuwa kosa lisilosameheka milele. Kuna uwezekano na kukuharibia future yako yote. Fikiria kwa upya hata kama dhamira yako ni njema,wasaidie kwa njia nyingine sio mtu aijue hii story halafu umuweke kwenye ofisi ambayo ni sehemu ya story. Unataka kujiumiza wewe
 

Ahsante kwa ushauri bro but huyu mtu anakwenda ofisi zingine kabisa sio kampuni hii, but nitayafanyia kazi mawazo yenu.
 
Insider mwenyew anajua stori hii ni chai na hakuna matukio halisi zaidi ya kutupanga kutokana na kipaji chake cha uandishi ndo maana hahofii.
Nyinyi viswanswadu mliotekwa na kuamini ni ukweli ndo nafsi zinawapapatuka.
Hakuna mtu mwenye akili timamu zinacharge fresh akajaribu kufanya risk game kama hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…