Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Acheni mambo ya kise*** mtu katoa fursa acha wanaotaka waombe yeye ajaona shida ndo maana katangaza sasa nyie mnawashwa nini..
 
Unasahau Iryn ana gun angeweza nitia Risasi na akajitetea nilikuwa mwizi[emoji23].

Pia Mlinzi alinisisitiza sana niwe mstaarabu ndomana nilivyoona Iryn ameanza kupata hasira niliamua kuondoka maana hata mimi nilipatwa na hasira muda huu.
Angekupasua ubongo umwagike. Pole yako
 
Ila Irin anaongozwa na hisia, kumpa mwanamke mimba amabaye sio mfanya kazi haina uhusiano na maswala ya kazi kimkataba ha yuko sahihi, hayo ni maswala personal.
 
Mwanao anasema haogopi mtu hapa jf. Mwambie kuna wafukunyuaji na roho mbaya zaidi ya mange kimambi
 
Nikisoma story hii najiona mimi kabisa kasoro kwenye connection za pesa ndio hazikuwepo.

Kuna wadada walinichukia kwa kuwa nilicheza na hisia zao bila kujua au kwa kujua wananipenda. Nikikumbuka huwa najiona nilikuwa wa hovyo sana kuwa na misimamo ya kijinga ila kuna wakati najipa heko maana huenda leo nisingekuwa hai au niko katikati ya mning'inio wa maradhi.

Kuna wakati acha vingine vitupite tu maana kuna wanawake wanakutaka ili wachukue nafasi ya aliyepo kwa kumuona hastahili. Mwanamke akimpenda mtoto wako sana jua anapenda kuzaa na wewe ili apate mtoto mzuri kama huyo wako. Ndio unakuwa mwanzo wa matatizo makubwa katika ndoa.


Hisia zangu bado sidhani kama ndoa ya mwamba ilibaki salama kwa hawa viumbe wawili Iryn na Prisca. Lazima ilitikiswa
 
πŸ˜‚ Fala sana ww,ujue kuna watu wataamini na kuanza kuuliza inakuaje episode za Leo fupi fupi sana?πŸ˜‚
 
Naomba muwe na subira mambo mazuri yako njiani, mpaka sasa aliyepatia kuotea mwisho wa hii story ni mmoja tu na aliotea mwanzoni kabisa wakati mambo hayajaanza kukolea. Huyu nitaitafuta comment yake na nitampa zawadi sijui kama bado yuko online.
Mkuu utanifanya nianze kupitia comment kuanzia mwanzo wa storiπŸ˜‚,si mateso hayo mwamba?
 
Kuna Time JF inakatisha sana tamaa kutokana na tabia za wachache
Fikiria Mwana alishadhamiria kuwasaidia watu humu. Sasa tena atalazimika kugairi

Mkuu @insiderman kama lengo ni kusaidia kweli I plead you usikatishwe tamaa. Angalia tu namna bora ya kuzungumza na muhusika if at all kama alikua anawaza kufatilia na ku expose ya humu Asithubutu kufanya hivyo na by the way mtu alieyekwenda shule na jitu zima haitaji rocket science kuelewa hili.... After all kwanza umemsaidia pakubwa

Ndugu zangu watu tunaoishi nao huko huko uraiani ndio hawa tunaowaona humu labda tofauti tu ni nicknames. Tushindwe kusaidiana kisa Fear of Expose?? Hapana siyo kweli ndugu zangu

Binafsi naamini watu wanaojielewa wapo humu kama tu nilivyo mimi na ukiwa na mentality hiyo utakutana tu na wanaojielewa pia that's how life goes. Unajisikiaje siku umemsaidia mtu na amefika stage anatoa ushuhuda humu kwamba dah jamaa we just met at JF but today we are like bloody bro or sister?

Tuache mentality mbaya ndugu zangu na by the way humu watu wengi sana wameshaonana na kufahamiana and they just socialise more than words to say

Insider go ahead but make sure you make ultimatum agreement with the one ili aki saliti na umemsaidia alaaniwe kabisa πŸ˜‚
 
mkuu kuna watu humu ndani wana roho mbaya sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…