Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

[emoji23][emoji23][emoji23] wew jamaa muhuni nmecheka kwa sauti
 

Mama J hata hajui kama kuna JF, hakuna tukio naloruka hata moja.
 
Nyie huwa mnaolewa kwa stories tu. Hapo unaolewa wewe na familia yako yoooooote.... Maana si kwa povu hili. Umeumia sana?
Naona kila anayekupinga unamwambia kaolewa, vipi una trauma ya kugeuzwa ke ukiwa mdogo
Sema ukweli tu watu wa therapy wapo hapa watakusaidia
Maana inaonekana una vinasaba fulani hivi vya yule bibi wa jf
 
Naona kila anayekupinga unamwambia kaolewa, vipi una trauma ya kugeuzwa ke ukiwa mdogo
Sema ukweli tu watu wa therapy wapo hapa watakusaidia
Maana inaonekana una vinasaba fulani hivi vya yule bibi wa jf
Nimeangalia avatar yako. Nikajua shida ni nini. Nyie mashoga mnajitangaza sana kwa sasa. Mnataka watu tuone kama ni jambo la kawaida. Wewe delicious juma lokole.
 
See you soon maana yake ni nini??
 
Duh noma! Una kismati cha kupewa pesa bure bure tu yaani
Alafu yeye hatoagi pesa bure bure yaani, hizi laki 3 na vimilioni anapata sana.

Imgine jamaa aliingia loss ya 130K pale airport ila hakutaka kuacha pesa kizembe huyu jamaa kama siyo mhehe basi ni mpare wabahili sana, aliona hata akisema nalipa 50K haifai mpaka apigie watu simu kutoa help, if was me ningetoa as long as pesa ipo sema nisingezidi 80K😁😁😁

Offers kama zote mzee, kwa Iryn anaingia mpaka jikoni anajisevia.....aseeee sisi wengine tuna gundu sana.

Sema Iryn ana pesa sana.

Huyo mama J atakuuwa hivi hivi kwa wivu na presha yaani mtoto anaonekana wa moto sana, ghafla nimemfananisha na bby mama wangu alivyo na mitikasi ya kuhisi hisi namcheat wakati akuna kitu afu siku akikufuma kweli, daaah ni kelele 😁😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…