Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ujue hii story yko nmeanza kuisoma jn na kuimaliza jan tena bila kuskip ht mstar mmoja Episode 1- episode 11 mkuu nasubiri muendelezo[emoji41]Hapana mkuu mimi sio wa kishua kama ingekua hivo mzee angenipa pesa ya mtaji wakati nimemaliza chuo. Nashukuru Mungu familia yangu ipo kwenye level ya kati ambapo naweza sema sio maskini wala matajiri.
Insider the story is so nice.. wanaoponda watunge zao
Kabisa mkuu huwa nazungukazunguka posta mjini at least nipate connection hizo
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Ukimwamini Mungu na ukatenda sawasawa na imani yako. mafanikio yapo hakikaHata Yesu aliwaambia Wayahudi yeye ni Mwana wa Mungu lakini walimpinga na wakamwua. Baada ya kupaa mbinguni ndo wakaamini yale maneno Yesu alokua anawaambia.
Nikitaka kufanyiwa full massage na kupiga MZIGO na Lyrin na $2000 ninazo utaniunganisha
Sababu kubwa nini? And she is African girl anabagua wenzakeIryn hafanyi kazi na wabongo asee hata waafrica kwa ujumla ni wachache sana anaofanya nao kazi
Tajir toa muendelezo bas na arosto hapaMkuu unavyoingia mzigoni omba Mungu, Ipende kazi yako hata kama sio kwa muda huo ila mafanikio yapo. Kuna baadhi ya vijana wanatumia Uber kwaajili ya kupata Mademu na wapo wengi tu kwa sasa hapa mjini.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yaani unapewa milioni tatu kumkutanisha myemen na mbunye unazubaa,,,
Ila ungetuma picha ya huyo lrin tumuone anafananaje usije kukuta ni wema sepetu aliechangamka
Ngono inatuweka mbali na vitu vingi kaka.Alafu yeye hatoagi pesa bure bure yaani, hizi laki 3 na vimilioni anapata sana.
Imgine jamaa aliingia loss ya 130K pale airport ila hakutaka kuacha pesa kizembe huyu jamaa kama siyo mhehe basi ni mpare wabahili sana, aliona hata akisema nalipa 50K haifai mpaka apigie watu simu kutoa help, if was me ningetoa as long as pesa ipo sema nisingezidi 80K😁😁😁
Offers kama zote mzee, kwa Iryn anaingia mpaka jikoni anajisevia.....aseeee sisi wengine tuna gundu sana.
Sema Iryn ana pesa sana.
Huyo mama J atakuuwa hivi hivi kwa wivu na presha yaani mtoto anaonekana wa moto sana, ghafla nimemfananisha na bby mama wangu alivyo na mitikasi ya kuhisi hisi namcheat wakati akuna kitu afu siku akikufuma kweli, daaah ni kelele 😁😁😁
Waafrika ustaarabu hatuna mkuu hilo lipo wazi.Sababu kubwa nini? And she is African girl anabagua wenzake
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Bora hiyo pisi Kali inajuuza classic inafanya mambo ya maana. Kuliko wanaojiuza buku 3 😂😂😂Ngono inatuweka mbali na vitu vingi kaka.
Mwingine huyo rafiki yake sister hapo airport angetaka kumla, iryn angetaka kumla, prisca ndo mapemaa angekua keshaliwa..
Kuna wanawake wanaweza kukupa utajiri kama usipoongelea ngono ngono.
Na kama jamaa hilo gari lake angekua anafukunyulia humohumo si ajabu hiyo mibaraka yote angeikosa.
Sema tu sijaelewa kwanini huyo pisi kali anajiuza.
Saaana, unatisha IrynBalaa zito
Mzee kujiuza kujiuza tu iwe kiclassic au kilocal bado ni unajiuza.Bora hiyo pisi Kali inajuuza classic inafanya mambo ya maana. Kuliko wanaojiuza buku 3 😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Iryn gani tena jamaniSaaana, unatisha Iryn
we muethopia wa karagwe[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Iryn gani tena jamani
Umeambiwa Iryn ni muethopia me mbongo wa hapahapa
Hpn sijafikia sifa za Irene ht robo ya robowe muethopia wa karagwe