Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Hapana mkuu mimi sio wa kishua kama ingekua hivo mzee angenipa pesa ya mtaji wakati nimemaliza chuo. Nashukuru Mungu familia yangu ipo kwenye level ya kati ambapo naweza sema sio maskini wala matajiri.
Ujue hii story yko nmeanza kuisoma jn na kuimaliza jan tena bila kuskip ht mstar mmoja Episode 1- episode 11 mkuu nasubiri muendelezo[emoji41]
 
Kabisa mkuu huwa nazungukazunguka posta mjini at least nipate connection hizo

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app

Mkuu unavyoingia mzigoni omba Mungu, Ipende kazi yako hata kama sio kwa muda huo ila mafanikio yapo. Kuna baadhi ya vijana wanatumia Uber kwaajili ya kupata Mademu na wapo wengi tu kwa sasa hapa mjini.
 
Tajir toa muendelezo bas na arosto hapa
 
Alafu yeye hatoagi pesa bure bure yaani, hizi laki 3 na vimilioni anapata sana.

Imgine jamaa aliingia loss ya 130K pale airport ila hakutaka kuacha pesa kizembe huyu jamaa kama siyo mhehe basi ni mpare wabahili sana, aliona hata akisema nalipa 50K haifai mpaka apigie watu simu kutoa help, if was me ningetoa as long as pesa ipo sema nisingezidi 80K😁😁😁

Offers kama zote mzee, kwa Iryn anaingia mpaka jikoni anajisevia.....aseeee sisi wengine tuna gundu sana.

Sema Iryn ana pesa sana.

Huyo mama J atakuuwa hivi hivi kwa wivu na presha yaani mtoto anaonekana wa moto sana, ghafla nimemfananisha na bby mama wangu alivyo na mitikasi ya kuhisi hisi namcheat wakati akuna kitu afu siku akikufuma kweli, daaah ni kelele 😁😁😁
Ngono inatuweka mbali na vitu vingi kaka.

Mwingine huyo rafiki yake sister hapo airport angetaka kumla, iryn angetaka kumla, prisca ndo mapemaa angekua keshaliwa..

Kuna wanawake wanaweza kukupa utajiri kama usipoongelea ngono ngono.

Na kama jamaa hilo gari lake angekua anafukunyulia humohumo si ajabu hiyo mibaraka yote angeikosa.

Sema tu sijaelewa kwanini huyo pisi kali anajiuza.
 
Sababu kubwa nini? And she is African girl anabagua wenzake

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Waafrika ustaarabu hatuna mkuu hilo lipo wazi.
Kumheshimu mwanamke kwetu ni mwiko, yaani uweke makubaliano na mwanamke eti mfanye hiyo massage bila kumla mbongo gani atakubali kindezi.

Nadhani hiyo ndo sababu.
 
Ngono inatuweka mbali na vitu vingi kaka.

Mwingine huyo rafiki yake sister hapo airport angetaka kumla, iryn angetaka kumla, prisca ndo mapemaa angekua keshaliwa..

Kuna wanawake wanaweza kukupa utajiri kama usipoongelea ngono ngono.

Na kama jamaa hilo gari lake angekua anafukunyulia humohumo si ajabu hiyo mibaraka yote angeikosa.

Sema tu sijaelewa kwanini huyo pisi kali anajiuza.
Bora hiyo pisi Kali inajuuza classic inafanya mambo ya maana. Kuliko wanaojiuza buku 3 😂😂😂
 
Bora hiyo pisi Kali inajuuza classic inafanya mambo ya maana. Kuliko wanaojiuza buku 3 😂😂😂
Mzee kujiuza kujiuza tu iwe kiclassic au kilocal bado ni unajiuza.

Na hao wanaojiuza kiclassic wako njema financially sasa kwanini anajiuza??
Huyo dem kwa maelezo ya jamaa, mzee wake ana ukwasi wa kwenda, maza ake ndo huyo kamuachia kampuni.

Kwanini ujiuze? Unataka nini zaidi?? Au labda ni mtu wa kitengo wa nchi fulqni kwamba anachukua taarifa kwa walengwa??
 
Back
Top Bottom