Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Kaka itabidi unipe link ya hii story yako.
Link ya nini wakati mwamba hapo alitoa Boko kama Maguare tu[emoji3], kwny Masihara kule kajisahau katuma Screenshot ya chat zake na pisi yake namba ya Manzi Ikiwa wazi kabisa. Wahuni wakampandia Juu.

Hii mitandao Tuwe nayo makini sana. Kuharibiwa Image yako nzima inaweza kuwa jambo rahisi sana. Kabla ya kuweka bandiko lolote jaribu kulipitia mara nyingi ujiridhishe ndo Utume.

Mkuu INSIDER MAN msalimie Genive
 
Kama movie hii ni "UNFAITHFUL"
 
KILA jambo hutokea kwasababu.....yaani yawezekana uliepushwa na meng ya baadae shukuru Mungu tu .....

Ila swala la ndoa πŸ˜‚πŸ˜‚nipo na ww sahani Moja ndoa Ipo,imesimama imara na mtikisiko hakuna ni changamoto tu one two za kimaisha ......
 
Kuna kigongo kipya kitaingizwa Jf kwa mara ya kwanza kabisa.
Wale wapenzi wa vitu vya kijasusi vilivyoshiba msikose hii kitu ..(MABADUNI WA SERIKALI).
Kigongo kina sura sita tu, na bado sura mbili kikamilike.


Ningepost lakini naijua arosto ya wadau humu wanaweza kukuombea dua mbaya hivyo naiheshimu sana hadhira.
Wakosoaji wasikose, narudia tena, wasikose. Maana wanaleta ukamilifu ambao nautaka...
SOON TO BE THERE.
 
Tupo na ww ..,...usiingie mitini tu
 
Nashukuru tu nilikutana na mwanamke muelewa wangekua ni hawa wa fursa sijui hali ingekuaje. Kupitia hayo maumivu nilio yapitia ndio maana namuonya sana insider asije akafanya hicho kitu kuna watu wanaroho mbaya mnoo roho za kuharibu
Kabisa mkuu. Hii dunia hivi unavyoiona kwa nje hawa watu unacheka nao,sivyo kabisa walivyo mioyoni.
 
Leta letaa mkuu isiwe chai tu
 
Yeah na Iryn anamkubali sana Lucy afanye manuva kuwapatanisha ili nae mambo yake yanyooke!
Kwa ilipofikia Lucy ndio master mind kwa wote naamini boss lady ataomba ushauri kwa Lucy nahiyo inaweza kuwa chance kwa INSIDER kurekebisha makosa
 
Hatimaye nimesoma episode zote 62 hadi sasa.

Wakati mwingine ni vyema kumpa mtu credits zake akiwa hai, tusisubiri afe kama ilivyokuwa kwa leadermoe

Huyu mwamba amejua kupangilia visa vyake kwenye hadithi hii, hata kama itakuwa ni ya kutunga lakini amejua kuiteka hadhira yake.
Pongezi sana Mkuu INSIDER MAN πŸ‘πŸ‘πŸ‘

Nilichojifunza hakuna kukata tamaa kwenye utafutaji, haijalishi unapitia mangapi.

Kuna baadhi ya watu wanasema hawawezi kujenga kisa wao ni bodaboda, wanasahau mtoa mada ni dereva wa Uber/Bolts lakini ameweza kujenga huko Dodoma na ameweza kufungua biashara zake binafsi.

Tuleni Bata kama anavyosimulia mtoa mada lakini tusiache kuwekeza kwaajili ya Uzee wetu.

Wanasema Fainali Uzeeni
 
Kwa ilipofikia Lucy ndio master mind kwa wote naamini boss lady ataomba ushauri kwa Lucy nahiyo inaweza kuwa chance kwa INSIDER kurekebisha makosa
Sure japo naona jamaa anaenda kusoma so sijui Iryn itakuaje kwani akimaliza tayari ana donge nene la kazi kwa mzee Juma!! Let's wait tuone zimebaki episode chache sana!
 
Asantreeeeeeeeeeh! Binafsi cha kwanza nilichoikubali hii story ni motivational story! Inahamasisha sana kupambana bila kuchoka!
 
Sure japo naona jamaa anaenda kusoma so sijui Iryn itakuaje kwani akimaliza tayari ana donge nene la kazi kwa mzee Juma!! Let's wait tuone zimebaki episode chache sana!
INSIDER kazungukwa na fursa ashindwe yeye tu Mama 2, Mzee Juma Boss lady Manuel.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…