Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,286
- 39,418
He's riding what broh? [emoji1787]
Ngoja nna mkeka wa jero hapa nimeweka, ukitick tu miamala itasoma huko[emoji23]Wewe tena usiongee kabisa, ukoo unakudai rambirambi jina lako lina deni [emoji23][emoji23][emoji23]
Wakalaleee....... Wasisumbue watu bhnJamaa kawakamata sana afu ni Don’t care hanaga habari nao kabisa, hawa ndo wanaongoza kwa kuufuatilia huu uzi. Uzi kama ni chai sasa unafanya nini humu?, si tafuta threads zingine usome zipo kibao
Ngoja nna mkeka wa jero hapa nimeweka, ukitick tu miamala itasoma huko[emoji23]
Odo navyompenda hata asemaje nitakua nafurahi tu, unajua ukisemwa na mtu unayempenda wala u akua huumii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na ikigoma je?
Ukoo umekukalia kikao na kazi ya kukuchachua wamempa Odo.
Namuona Odo km mama Wema ujipange.
Bambaraga[emoji23][emoji23]
Umeisha mzee[emoji23][emoji23][emoji23]Tufanye Review kidogo tulikotoka na tunakokwenda,
1. Prisca nishampiga chini, vipi atakubali kirahisi?
2. Mpak sasa kibarua changu kipo matatani “Boss lady” kawaka sana.
3. Best yangu Sumaiya kaachishwa kazi, [emoji23][emoji23]
4. Mama J atajua sakata la mimba ya Prisca?
5. Lucy kaniingiza choo cha kike nimeishiwa kuchapwa kibao,[emoji28]
What to expect in the Next Epsode? [emoji2371]
Odo navyompenda hata asemaje nitakua nafurahi tu, unajua ukisemwa na mtu unayempenda wala u akua huumii[emoji23]
Rainbow, The Bistro, hata Royal villageHello Fans, Dodoma kuna Baridi sana hivi Mabaharia huwa mnaponea wapi?? [emoji23][emoji23]
Rainbow, The Bistro, hata Royal village
Nadhani hujamuelewa SMARTER GHOSTInasikitisha kuona bado unahangaika na uzi wa mwanaume bila shaka Arosto imekukamata toka muda naona -ve comments from you but you still riding his di-ick[emoji23]
Au sio? Basi nisamehe mkuu!Inasikitisha kuona bado unahangaika na uzi wa mwanaume bila shaka Arosto imekukamata toka muda naona -ve comments from you but you still riding his di-ick[emoji23]
Sorry Brother 🙏Au sio? Basi nisamehe mkuu!
Sema nini, Lucy hajakuingiza cha kike isipokua wewe ulikua na mihemko. Haiwezekani kwa hatua aliyofikia huyo boss wako ambayo inaonyesha dhahiri ya kuwa umemkwaza kwa kiwango kikubwa mpaka akaku block na kukuwekea kizuizi getini kwake eti umtulize kwa kum kiss sijui kum hug, hii haiingii akilini. Kama ungetuliza wenge kdg tu ungegundua kuwa ulipaswa kuongea nae kwanza, na kimsingi ulianza vzr sana pale uliposema kuwa unaomba dakika 5 tu akusikilize, lkn ukazingua. Badala ya kuongea nae wewe unataka kukiss kweli? Hayo ndio matumizi ya dakika 5 ulizoomba?Tufanye Review kidogo tulikotoka na tunakokwenda,
1. Prisca nishampiga chini, vipi atakubali kirahisi?
2. Mpak sasa kibarua changu kipo matatani “Boss lady” kawaka sana.
3. Best yangu Sumaiya kaachishwa kazi, [emoji23][emoji23]
4. Mama J atajua sakata la mimba ya Prisca?
5. Lucy kaniingiza choo cha kike nimeishiwa kuchapwa kibao,[emoji28]
What to expect in the Next Epsode? [emoji2371]
Upepo broo…Kuna wakati nilipataga upepo mzuri kila nifanyalo ni hela tu…!!Kinachonishangaza na kunistaajabisha kwenye huu uzi ni jinsi pesa flow ya pesa zinavyomfuata jamaa, kitu ambacho sio kawaida
Jamaa ana pesa muhindi akasomeSimulizi ni nzuri Sana na inavutia kwakweli kuisoma na kuifuatilia..lkn jambo Moja tu linanishangaza ni matumizi ya pesa ya INSIDER MAN yalivyomakubwa mpaka najiuliza, icho kilikuwa ni kipindi Cha Jk au Mjomba Magu..maana 50,000 unamtowa mlinzi wa geti tu...mmmmh...
Kweli pesa matumizi...
afu usafiri wako na mkeo ni ndege tu, wakati umetoka familia ya kawaida Sana, uwo ujasiri unaupata wapi kwa hizi aina za familia zetu ..
Kazi ya uhakika ni Uber....No Bado sijapata connection...endelea kutupa story bro labda uko mbele ntakusoma.
Lkn hongera Sana kwa kuteka minds zetu kupitia story Yako.