Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Jamaa kawakamata sana afu ni Don’t care hanaga habari nao kabisa, hawa ndo wanaongoza kwa kuufuatilia huu uzi. Uzi kama ni chai sasa unafanya nini humu?, si tafuta threads zingine usome zipo kibao
Wakalaleee....... Wasisumbue watu bhn
 
Tufanye Review kidogo tulikotoka na tunakokwenda,

1. Prisca nishampiga chini, vipi atakubali kirahisi?

2. Mpak sasa kibarua changu kipo matatani “Boss lady” kawaka sana.

3. Best yangu Sumaiya kaachishwa kazi, [emoji23][emoji23]

4. Mama J atajua sakata la mimba ya Prisca?

5. Lucy kaniingiza choo cha kike nimeishiwa kuchapwa kibao,[emoji28]

What to expect in the Next Epsode? [emoji2371]
 
Umeisha mzee[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tufanye Review kidogo tulikotoka na tunakokwenda,

1. Prisca nishampiga chini, vipi atakubali kirahisi?

2. Mpak sasa kibarua changu kipo matatani “Boss lady” kawaka sana.

3. Best yangu Sumaiya kaachishwa kazi, [emoji23][emoji23]

4. Mama J atajua sakata la mimba ya Prisca?

5. Lucy kaniingiza choo cha kike nimeishiwa kuchapwa kibao,[emoji28]

What to expect in the Next Epsode? [emoji2371]
Sema nini, Lucy hajakuingiza cha kike isipokua wewe ulikua na mihemko. Haiwezekani kwa hatua aliyofikia huyo boss wako ambayo inaonyesha dhahiri ya kuwa umemkwaza kwa kiwango kikubwa mpaka akaku block na kukuwekea kizuizi getini kwake eti umtulize kwa kum kiss sijui kum hug, hii haiingii akilini. Kama ungetuliza wenge kdg tu ungegundua kuwa ulipaswa kuongea nae kwanza, na kimsingi ulianza vzr sana pale uliposema kuwa unaomba dakika 5 tu akusikilize, lkn ukazingua. Badala ya kuongea nae wewe unataka kukiss kweli? Hayo ndio matumizi ya dakika 5 ulizoomba?
 
Simulizi ni nzuri Sana na inavutia kwakweli kuisoma na kuifuatilia..lkn jambo Moja tu linanishangaza ni matumizi ya pesa ya INSIDER MAN yalivyomakubwa mpaka najiuliza, icho kilikuwa ni kipindi Cha Jk au Mjomba Magu..maana 50,000 unamtowa mlinzi wa geti tu...mmmmh...
Kweli pesa matumizi...
afu usafiri wako na mkeo ni ndege tu, wakati umetoka familia ya kawaida Sana, uwo ujasiri unaupata wapi kwa hizi aina za familia zetu ..
Kazi ya uhakika ni Uber....No Bado sijapata connection...endelea kutupa story bro labda uko mbele ntakusoma.
Lkn hongera Sana kwa kuteka minds zetu kupitia story Yako.
Jamaa ana pesa muhindi akasome
 
Back
Top Bottom