kilwakivinje
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 6,184
- 9,407
Anatembea na 1m per day mkuu jamaa ni tajiriHakuna mtu Ana stress mnachoshidwa kuelewa ni kwamba .
Mambo anayoongea jamaa hayaendani na uhalisia wa hali halisi ya maisha hata kama unalipwa million 5.
From no where haiwezekani umpe.mtu laki 2 bila mpangilio hapa umetupiga.
Flow yako ya kutoa hela na kupokea imeonekana ni nyepesi.
Jamaa ni chief Godlove aliyechangamka