Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Hakuna mtu Ana stress mnachoshidwa kuelewa ni kwamba .

Mambo anayoongea jamaa hayaendani na uhalisia wa hali halisi ya maisha hata kama unalipwa million 5.

From no where haiwezekani umpe.mtu laki 2 bila mpangilio hapa umetupiga.

Flow yako ya kutoa hela na kupokea imeonekana ni nyepesi.

Jamaa ni chief Godlove aliyechangamka
Anatembea na 1m per day mkuu jamaa ni tajiri
 
Gharama ila mnazaa na Malaya wanawafanya vitenga uchumi tuna watoto na tunalea.

Tunachoangalia na kuzingatia ni mahitaji ya lazima mfano maziwa lactogen,nguo,unga wa uji kama ameanza kula pampas .

Sasa mnavyotuambia wanamaliza hela hela gani mnaongea nyie.

Acheni Hizo au mnadhani ndo nyie mnaolea peke yenu
Wanatuchukulia watoto wenzao humu wakati wengine tunao wanne
 
Hiyo nadhani kwa jinsi wewe ulivyotengeneza fomula hiyo kwe familia yako sisi wengine watoto wetu hawafungwi pampus ni mpaka wako safari kwa dharura,tunajua madhara ya hizo pampas
Mnawafunga nn sasa watoto?
 
1. Prisca kwisha habari yake.
2. Boss lady kwa hasira zake ndo muda uliofanikisha zoezi pendwa.
3. Mama J hatajua
Tufanye Review kidogo tulikotoka na tunakokwenda,

1. Prisca nishampiga chini, vipi atakubali kirahisi?

2. Mpak sasa kibarua changu kipo matatani “Boss lady” kawaka sana.

3. Best yangu Sumaiya kaachishwa kazi, [emoji23][emoji23]

4. Mama J atajua sakata la mimba ya Prisca?

5. Lucy kaniingiza choo cha kike nimeishiwa kuchapwa kibao,[emoji28]

What to expect in the Next Epsode? [emoji2371]
 
By the way...... Kuna watu Wana hela sio mchezo kipind nipo IFM om ni sinza tuu apo Ila Kuna dogo alikuwa usafiri wake BOLT...... hajawah panda dala dala na alkuwa anaish sinza A hii iliopo opposite na MLIMAN CITY..... sku moja nkamshawish tupande mwendkas anisndkze UBUNGO maji pale...... Anatka kulia kulivobanana kweny gari[emoji16][emoji16]

Sasa bhn Kuna siku tukiwa campus maeneo ya canteen pale..... Akashangaa mtu anakula ugali na dagaa wa mwanza like what is this? Like seriously!! Nkamwambia hapana kila mtu ana favorite food na maeneo tuliyotokea plus uchumi........
KAMBAAA !
 
Either kuna watu wanastress and they don't want to believe what they hear or see. Kula brunch Serena , Rotana au Hyatt unajua ni kiasi gani? Kuna watu wana reservation ya mwaka (kila jumapili) na bill siyo chini ya 500,000. Tafuteni hela na wacha kulalamika na kusema hii ni Chai
Chai kwa sababu story haina uhalisia hata kidogo! Sio kuna serena kwa bill ya 500k
 
Kinachonishangaza na kunistaajabisha kwenye huu uzi ni jinsi pesa flow ya pesa zinavyomfuata jamaa, kitu ambacho sio kawaida
Kuna watu matatizo yanafuata daily,vipi hiyo ndo kawaida?
 
Tufanye Review kidogo tulikotoka na tunakokwenda,

1. Prisca nishampiga chini, vipi atakubali kirahisi?

2. Mpak sasa kibarua changu kipo matatani “Boss lady” kawaka sana.

3. Best yangu Sumaiya kaachishwa kazi, [emoji23][emoji23]

4. Mama J atajua sakata la mimba ya Prisca?

5. Lucy kaniingiza choo cha kike nimeishiwa kuchapwa kibao,[emoji28]

What to expect in the Next Epsode? [emoji2371]
Lini hii next epsod INSIDER MAN
 
Hapo no 5 utamlaumi Luccy Bure Kapten, yeye alikupa ushauri maridadi kabisa na alikusaidia wewe kujua kwamba Iryn anakupenda, shida ni kwako kupeleka mdomo kwenye mdomo wa boss wako wakati Bado hamjaweka hali ya hewa vizuri. Ndio maana yakatokea mambo ya nziiiii....nziiii
 
Back
Top Bottom