Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,284
- 39,513
Upo sahihi bado wale wa kwend kulewea level 8 au serena....kwanza magari yao tu full tank inaanzia 180k
Wakati huo ni mshahara wa mtu
Tutafute pesa jamani
Tuache makasiriko
Upo sahihi bado wale wa kwend kulewea level 8 au serena....kwanza magari yao tu full tank inaanzia 180k
Wakati huo ni mshahara wa mtu
Tutafute pesa jamani
Sina naomba hata buku nikale mihogo kwa mama mwajumaROHO MBAYA imekujaa utakufa MASKINI unahela ya Dinna??
Tunachobishana kwamba hii ni chai ni namna ya matukio yalivyokaa, huwez kukumbuka mwaka juzi siku na tarehe na siku nzima unaihafithia vzr! Hatulalamiki kwamba jamaa anatumia pesa! Wapo wanaotumia zaidi ya hizo kwenye starehe hatukatai! Lkn hii story ilivyotengenezwa na kuunganisha matukio ya kufikirika ndio inapelekea tuiite chai tena chai haswa!! Na tunachokereka muandishi analazimisha tuamini kwamba n TRUE STORY hapo ndio anaharibu hii ni FRICTION na anaogopa angesema ni yakufikirika asingepata wafuatiliaji
Daaaaah, ni kama kile kibao nilipigwa mimi.Tufanye Review kidogo tulikotoka na tunakokwenda,
1. Prisca nishampiga chini, vipi atakubali kirahisi?
2. Mpak sasa kibarua changu kipo matatani “Boss lady” kawaka sana.
3. Best yangu Sumaiya kaachishwa kazi, [emoji23][emoji23]
4. Mama J atajua sakata la mimba ya Prisca?
5. Lucy kaniingiza choo cha kike nimeishiwa kuchapwa kibao,[emoji28]
What to expect in the Next Epsode? [emoji2371]
unamuhusu bwaana Halima Gwaya, Anapewa penalty kila mechi na zote anakosa, lakini haachi kujifungaHivi huu Uzi huwa unahusu nn? Upo kitambo na unazidi kupaa ila sinaga hamu kabisaa ya kuusoma
Karibu Chai mkuu[emoji1787]Hivi huu Uzi huwa unahusu nn? Upo kitambo na unazidi kupaa ila sinaga hamu kabisaa ya kuusoma
Karibu Chai mkuu[emoji1787]View attachment 2773067Hivi huu Uzi huwa unahusu nn? Upo kitambo na unazidi kupaa ila sinaga hamu kabisaa ya kuusoma
SASA MKUU JITU LINACOMMENT LIPO BIHARAMULO HUKO, AU KATAVI HANA EXPOSURE YOYOTE MAISHANI MWAKE, ANAKULA UGALI WA MTAMA NA VISAMAKI BAR ZAKE ANAZOZIONA NI VILABU VYA POMBE ZA KIENYEJI UNADHANI WATAACHA KUMPOSTI NYANI ANAKUNYWA CHAI HEHEH. ATAJULIA WAPI TABLE ZA NAMNA HII BUDGET YAKE KWA MWAKA MILLION TATU TU ZA SHAMBANI KULIMA. HALAFU WANAKUTANA JF NA STORY KAMA HII ILIYOJIKITA JIJINI DAR ES SALAAM.Hawa ndo Maison table ya 12million, lakini kuna Maskini wenzangu humu ndani watakwambia CHAI, na Package yao ndo hii na wahuni walikuwa wanajaza table zote [emoji1544]
View attachment 2772953
Wewe mbhabha unashida gani? Au umenyimwa uroda? Kisa cha kututukana ni nini? Tunasubiri hadi tuone Insider kamla Iryn, asipomla nitakata rufaa"HII STORY NI CHAI"
Tumefika nao episode ya 62, na wanasubiri muendelezo maniner zao!
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Download app inaitwa Grindr au Romeo huko utakutana na watoto wazuri ndiko mafisi na mabaharia wanaponea huko, achana na badoo siku hizi kuna vibakaHello Fans, Dodoma kuna Baridi sana hivi Mabaharia huwa mnaponea wapi?? [emoji23][emoji23]
Ukimwi hakuna siku hizi,Dom Ukimwi ni nje nje [emoji1316]
Next episode Iryn atakubali kukutana na ww kwa mashart na baadae atakubali kuongea na ww, Sumaiya utamuombea kurudi kazini ila utapewa mashart kuhusu sumaiya,Tufanye Review kidogo tulikotoka na tunakokwenda,
1. Prisca nishampiga chini, vipi atakubali kirahisi?
2. Mpak sasa kibarua changu kipo matatani “Boss lady” kawaka sana.
3. Best yangu Sumaiya kaachishwa kazi, [emoji23][emoji23]
4. Mama J atajua sakata la mimba ya Prisca?
5. Lucy kaniingiza choo cha kike nimeishiwa kuchapwa kibao,[emoji28]
What to expect in the Next Epsode? [emoji2371]
[emoji3][emoji3]mm hata shem Eva au yoyote wa saloonUnawachumba wengi alafu wakali, nipunguzie mmoja mkuu hata huyo dada wa kazi [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]