Apeche alolo
JF-Expert Member
- Apr 14, 2023
- 2,615
- 5,798
kwani huwa huna taratibu ya kunote kumbukumbu za matukio muhimu katika maisha yako?Tunachobishana kwamba hii ni chai ni namna ya matukio yalivyokaa, huwez kukumbuka mwaka juzi siku na tarehe na siku nzima unaihafithia vzr! Hatulalamiki kwamba jamaa anatumia pesa! Wapo wanaotumia zaidi ya hizo kwenye starehe hatukatai! Lkn hii story ilivyotengenezwa na kuunganisha matukio ya kufikirika ndio inapelekea tuiite chai tena chai haswa!! Na tunachokereka muandishi analazimisha tuamini kwamba n TRUE STORY hapo ndio anaharibu hii ni FRICTION na anaogopa angesema ni yakufikirika asingepata wafuatiliaji