Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,286
- 39,418
Hawa ndo wanaongoza kwa kufuatilia hii story maana tumetoka nao mbali sana ila bado wapo, unakuta hapo hata lunch hajalaMuda mwingine mtu tumia hata akili kidogo tu. Huu sio kwa u-fans tu kwani kama nyie mnaona haifai kwa nini msiachane nayo tu mkasepa kimya kimya?
Nikuulize swali, unafanya nini kwenye uzi wa mwanaume mwenzio kama ni chai? Si uende kwenye threads zingine?. Tuachie chai yetu tuendelee kuinywaAnasubir muda wakuwatundika na kuwavuta kama mbuzi
dah kila nikijaribugu kumbuka naweweseka.Black me 😂
Haha ya pmIpi? 🤣🤣
Unajua kazi ya JF wewe au umekurupuka kujibu commnts!Nikuulize swali, unafanya nini kwenye uzi wa mwanaume mwenzio kama ni chai? Si uende kwenye threads zingine?. Tuachie chai yetu tuendelee kuinywa
Tunakula story kama kawaida lakni story ni ya uongo so tunaenjoy maswala ya kuambiwa ni TRUE STORY ndio hatutaki!!!Muda mwingine mtu tumia hata akili kidogo tu. Huu sio kwa u-fans tu kwani kama nyie mnaona haifai kwa nini msiachane nayo tu mkasepa kimya kimya?
Tunakula story kama kawaida lakni story ni ya uongo so tunaenjoy maswala ya kuambiwa ni TRUE STORY ndio hatutaki!!!
Hii ni chaiii na safar hii haitanyweka vzr katia tui muandishi
Mtori hauna nyama
Wengi wanaopinga na kuikosoa hii story sjui ni chai woote ni matahira kiujumla ubongo wenu hauna akili, kama unajua ni chai mbona unapoteza muda kuifuatilia? Yaani unaacha kufanya yako unafuatilia chai ili iweje episode 60+
akili za kimaskini hizo, mijitu kama hii kwanza unaikuta inaroho mbaya sanaUenda anabiashara nyingine sambamba na biashara ya kusugua migongo ya wanaume anayoifanya iryn! Eti nikaomba mkopo mil.10 chap chap napewa kwenyebahasha, ndani ya mwaka nikamaliza; nikaomba nikapewa 20mil. nyingine bila collateral! Weeewe! Hakuna maisha ya namna hiyo hata ulaya
Tunachobishana kwamba hii ni chai ni namna ya matukio yalivyokaa, huwez kukumbuka mwaka juzi siku na tarehe na siku nzima unaihafithia vzr! Hatulalamiki kwamba jamaa anatumia pesa! Wapo wanaotumia zaidi ya hizo kwenye starehe hatukatai! Lkn hii story ilivyotengenezwa na kuunganisha matukio ya kufikirika ndio inapelekea tuiite chai tena chai haswa!! Na tunachokereka muandishi analazimisha tuamini kwamba n TRUE STORY hapo ndio anaharibu hii ni FRICTION na anaogopa angesema ni yakufikirika asingepata wafuatiliajiJF watu choka mbaya asilimia kubwa maisha magumu. Mwakajana kama sikosei nilishaleta post kwamba nilimtoa dem out Samaki samaki na alikuja na best zake wa2 na tulitumia bill ya 380k, nilishambuliwa kwa comments mpaka nikawatumia risiti hapo ndo wakakimbia na uzi.
Same here, watu hawana exposure hawajakutana na fursa wanaamini kila kitu chai. Ila jamaa angeleta story ya kuteseka na maisha usingekutana na hizi comment za chai.
This JF
Tatizo majority humu ni washamba na hawajawa exposed na hivi vituOya ukitaka kujua km watu wana hela kaa na watu wenye hela
Mm nilikuwa nafanya kazi kwenye kampuni flan iliyopo posta karibia na makao makuu flan hiv ya maokoto nchin opposite na hotel flan hv maarufu.
ile kampuni inadeal na maswala ya wateja,wateja weng wa ile kampun ni watu wanaokaa masaki,oysterbay kunduchi mbezi yan hasa ushuani wa changanyiken ni nadra saan.
yan kifupi ni watu wenye hela zaid yan ushamba wangu wote uliishia pale kwanza niliujua mji vzr sana na mitaa yote ya jiji ila kifupi kuna watu wanahela nyie achen masihara,yan kuna jamaa ni muhindi ya kula yake ya usiku chakula kinatoka sea cliff bill 200,000
watu wanapata breakfast asbh bill si chini ya 100k
ukitaka kuamin maisha tumetofautiana sana ww tembelea hii migahawa
1.Orchid cafe ipo masaki na IT Plaza posta
2.sea cliff ipo masak mwisho na posta haidart plaza
3.wood berry ipo masaki
4.taste me ipo mikocheni plaza,coco beach,salamander towe
5.samaki samaki ipo masaki,mliman city
6.Cafe Aroma ipo obama drive n.k
KWAHYO SISHANGAI WATU WAKISEMA STORY YA JAMAA NI CHAI KWASABABU USIPOKUWA KARIBU NA WATU WENYE HELA KWAKO UTAONA NI MAMBO MAGENI SANA
Tujifunze kutomla demu ambaye alistahi kuliwa tangu ep ya 30 au sio achani CHAI ichemke kwanza ndio wanafata sukar. NowTatizo majority humu ni washamba na hawajawa exposed na hivi vitu
Hata hizo sehemu ulizowatajia wengi hawazifahamu
Hawana connection na watu na hawajui jinsi ya kuzitengeneza hizo connection wamekalia kuponda wenzao humu badala ya kujifunza kutoka kwao...ndyo tabia za watanzania wivu badala ya kujifunza wanakalia wivu tu
Nakukatalia mkuu. Hiv umeshawahigi kusoma viatbu vya Dan brown. Ingekua ulaya wanazuia wangezuia vyake maana siwez kukuelezea jins alivyoichambua serekal ya marekan. Usituone kimya ukajua hatujuiMkuu Riwaya za kijasusi zinawekewa sana vikwazo na Serikali nyingi sio Bongo tu ni kote duniani
Watu hata kama sio walengwa hujihisi ndio walengwa so wanahisi kama Jamii inasanuliwa kimtindo.
Unaweza ukahisi unafanya jambo dogo but, wao wakiingia kwenye maana zao ndio utaona ilivyo big issue.
Tunachobishana kwamba hii ni chai ni namna ya matukio yalivyokaa, huwez kukumbuka mwaka juzi siku na tarehe na siku nzima unaihafithia vzr! Hatulalamiki kwamba jamaa anatumia pesa! Wapo wanaotumia zaidi ya hizo kwenye starehe hatukatai! Lkn hii story ilivyotengenezwa na kuunganisha matukio ya kufikirika ndio inapelekea tuiite chai tena chai haswa!! Na tunachokereka muandishi analazimisha tuamini kwamba n TRUE STORY hapo ndio anaharibu hii ni FRICTION na anaogopa angesema ni yakufikirika asingepata wafuatiliaji
Tatizo majority humu ni washamba na hawajawa exposed na hivi vitu
Hata hizo sehemu ulizowatajia wengi hawazifahamu
Hawana connection na watu na hawajui jinsi ya kuzitengeneza hizo connection wamekalia kuponda wenzao humu badala ya kujifunza kutoka kwao...ndyo tabia za watanzania wivu badala ya kujifunza wanakalia wivu tu
Tujifunze kutomla demu ambaye alistahi kuliwa tangu ep ya 30 au sio achani CHAI ichemke kwanza ndio wanafata sukar. Now