Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Hawa ndo Maison table ya 12million, lakini kuna Maskini wenzangu humu ndani watakwambia CHAI, na Package yao ndo hii na wahuni walikuwa wanajaza table zote [emoji1544]


View attachment 2772953
SASA MKUU JITU LINACOMMENT LIPO BIHARAMULO HUKO, AU KATAVI HANA EXPOSURE YOYOTE MAISHANI MWAKE, ANAKULA UGALI WA MTAMA NA VISAMAKI BAR ZAKE ANAZOZIONA NI VILABU VYA POMBE ZA KIENYEJI UNADHANI WATAACHA KUMPOSTI NYANI ANAKUNYWA CHAI HEHEH. ATAJULIA WAPI TABLE ZA NAMNA HII BUDGET YAKE KWA MWAKA MILLION TATU TU ZA SHAMBANI KULIMA. HALAFU WANAKUTANA JF NA STORY KAMA HII ILIYOJIKITA JIJINI DAR ES SALAAM.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"HII STORY NI CHAI"

Tumefika nao episode ya 62, na wanasubiri muendelezo maniner zao!

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Wewe mbhabha unashida gani? Au umenyimwa uroda? Kisa cha kututukana ni nini? Tunasubiri hadi tuone Insider kamla Iryn, asipomla nitakata rufaa
 
Next episode Iryn atakubali kukutana na ww kwa mashart na baadae atakubali kuongea na ww, Sumaiya utamuombea kurudi kazini ila utapewa mashart kuhusu sumaiya,

Na ww akili ikukae sawa sasa umle Iryn tumechoka kukuona unashika mapembe,
 
bado mtifuano unaendelea, ama kweli mmekamatwa, mmeshikwa, hamkoho, kama ni limbwata bas ni shuntama la kihaya, kazi mnayo
 
Kiukweli hii simulizi iwe chai, kahawa, maziwa, tangawizi, au hata alkasusu. Kuna somo la kujifunza e.g kupenda unachokifanya, kuzuia tamaa kunakuongezea thamani, mahusiano na ndoa, muonekano wako ndio wasifu wako, na vingine vingi sana ambavyo Kwa namna moja ama nyingine vina happen kwenye maisha yetu ya Kila siku.

Kongole INSIDER MAN
 
kwani huwa huna taratibu ya kunote kumbukumbu za matukio muhimu katika maisha yako?
 
Nakukatalia mkuu. Hiv umeshawahigi kusoma viatbu vya Dan brown. Ingekua ulaya wanazuia wangezuia vyake maana siwez kukuelezea jins alivyoichambua serekal ya marekan. Usituone kimya ukajua hatujui


Sina uhakika ni kwa namna Gani serikali inazuia hapa kwetu ila Kuna vitabu nilivitafuta sana nikaambiwa vilipigwa marufuku.

Kimojawapo ni hichi "Mbio za Jasusi"
 
“Insider thank you very much, I was wrong that day kusema kila mtu afocus na maisha yake, I’m sorry.”

Na Iryn alianza kuondoka na mimi nilimshika mkono nikamvuta kwangu nikamkumbatia, na palepale alinivuta tukaanza kunyonyana mate
Hakuna mkate mgumu kwa chai, kitu kinalainika chenyewe uterezi unakaribia
 
Sina uhakika ni kwa namna Gani serikali inazuia hapa kwetu ila Kuna vitabu nilivitafuta sana nikaambiwa vilipigwa marufuku.

Kimojawapo ni hichi "Mbio za Jasusi"
Mkumbushe pia kama sikosei nafikiri ni kat miaka kumi au nane iliopita kuna mwandish alizuiliwa hapo Ubungo asizindue kitabu chake
Kwa wenye info watutanabaishe juu ya hili.
 
Mbona umeandika kwa jeuri na kashfa sana kuwa sisi wa Katavi na Biharamuro ndio maskini sana? Acha dharau dogo.
 
Mpwa INSIDER MAN njoo basi tuendelee na story nimeshakuombea msamaha kwa wana ukoo kuhusu tabia yako ya kupaisha mipira kila ukibaki na goli wamekusamehe, ila nikuibie siri moja kwamba kila ukiplani kwenda kumfyarangua shemeji Irene kuna watu huwa wanakaa na sabauni za vipande au mafuta ya kulainishia ili wajichukulie sheria mikononi maana kwa jinsi ulivyomuelezea inawapa mzuka sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…