Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Iko hivi, Ukitaka kuwaelewa wanawake inabidi usiwaelewe walivyo wanawake ni Kama juveniles yaani watoto wanaoenda rika la kujitambua. Kimsingi Wana amini kila wahachokitamani au kukitaka ni lazima wakiweke kwenye himaya yao Sasa namna nzuri ya kuishi na watu wa aina hii ni kuwaweka karibu lakini kutowatilia maanani hata kama ndani ya nafsi yako unamhisi

Migogoro katika hisia haijawahi kuwa rahisi hata mara moja, kwanza ni kuzishinda hisia zinazotoka ndani mwako na kufanya matakwa yako muhimu halafu pia kuzidhibiti hisia zinazokuzunguka wewe yaani zinazosababishwa na wengine kukuvutia wewe. Mwanamke wa namna hiyo anakupenda sana ila anajaribu kupima mwenendo wake kwako. Mpe nafasi afanye masuala yake kwa ubinafsi huku na wewe ukiendelea kuwa na hulka yako mwenyewe kamwe usibadilishwe na mtu yeyote acha mazingira ndiyo yakubadilishe wewe yaani badilika Kama kuna ulazima wa kubadilika na sio kwa kuwa unahitaji kuridhisha hisa za mtu.

Kuwa bandidu lakini usiwe na majivuno wala dharau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…