Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Wakati tunasubiri INSIDER MAN alete mwendelezo, ngonja nishare experience kdg kuhusu mahusiano ya kimapenzi na watu wa kazini.
Nimefanya kazi almost miaka 2 kwenye post yangu mpya na ni sehemu ambaye robo 3 ya wafanyakazi ni wanawake.
Kuna mmoja nilimspot kumbe na yeye alikuwa amenielewa. Tumedate almost miezi 6 then tukaamua kuingia kwenye relationship.
Changamoto yake ana wivu sana. Hataki akuone unaongea na mfanyakazi mwingine wa kike. Kuna siku kadhaa amenikamata mfano nilipanda mshikaki wa boda hii siku alimind sana.
Last time nilikuwa nachat na mdada wa kazini kumbe wapo pamoja , yule dada msenge anamwonesha chats zetu eti fulani ananifurahisha hapa (zilikuwa normal charts sio mapenzi) bila kujua anatoa siri kwa mwenye Mali.
To make it short amenipiga kibuti aah aah tumebakia marafiki ila pamoja na kumbembeleza kote anasema harudi nyuma.
Kinachonishangaza kila mukioongea kwa simu au mkichat anaishia kuniambia vile alivyonipenda na nimeishia kumuumiza.
Jana nilimkuta kwa staff mate tulipiga story na kula pamoja. Baadae staff alienda mjini tukabaki wenyewe, nikawa na test kushika kiuno na kumhug wala hakukataa na jioni nilimuaga kwa kumkiss mdomoni.
Leo nimeendelea kumbembeleza turudi km zamani anasema hataki kuumia tena kwa wanaume anayeshobokea na kila mwanamke kazini.
Ukweli bado namhitaji sana lkn ni km nikiendelea kumbembeleza sana nitamkosa. Na plan kula buyu nisiongee kuhusu mahusiano yetu tena
Je inaweza kumsaidia kurudi nyuma ?
Iko hivi, Ukitaka kuwaelewa wanawake inabidi usiwaelewe walivyo wanawake ni Kama juveniles yaani watoto wanaoenda rika la kujitambua. Kimsingi Wana amini kila wahachokitamani au kukitaka ni lazima wakiweke kwenye himaya yao Sasa namna nzuri ya kuishi na watu wa aina hii ni kuwaweka karibu lakini kutowatilia maanani hata kama ndani ya nafsi yako unamhisi

Migogoro katika hisia haijawahi kuwa rahisi hata mara moja, kwanza ni kuzishinda hisia zinazotoka ndani mwako na kufanya matakwa yako muhimu halafu pia kuzidhibiti hisia zinazokuzunguka wewe yaani zinazosababishwa na wengine kukuvutia wewe. Mwanamke wa namna hiyo anakupenda sana ila anajaribu kupima mwenendo wake kwako. Mpe nafasi afanye masuala yake kwa ubinafsi huku na wewe ukiendelea kuwa na hulka yako mwenyewe kamwe usibadilishwe na mtu yeyote acha mazingira ndiyo yakubadilishe wewe yaani badilika Kama kuna ulazima wa kubadilika na sio kwa kuwa unahitaji kuridhisha hisa za mtu.

Kuwa bandidu lakini usiwe na majivuno wala dharau
 
Back
Top Bottom