Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Shukrani sana
 
Story haichoshi kusoma....Mkuu alikuwa na haki zote za kupanda mlima bila kutembea Kwa jinsi alivyojielezea.....mtoto ukihadithiwaa tu mnara unasoma...,.Sasa ukigusanisha ,,je??hahaaaa?!!!halafu insider ana nyota Kali na kibali Kila anapoingia Cha kukubalika na kupendwa...,,, Ni bahati sana.
 
Tembelea wanawake wengi kuanzia mipango, 4ways, makole, iringa road, Nkuhungu, Chako ni chako huku mitaa ya uhindini ukigusa kavu kesho ujue gono umelipata ukimwi upo njiani
Hili lilinikuta dodoma nusura niingie kwenye grid.
 
INSIDER anayo mambo fulani anayoyafanya kitu kinachopelekea kuonekana kuwa ana bahati na kibali cha kukubalika na watu wengi.
UAMINIFU
UKWELI
KUTOKUJIKWEZA
UCHAPAJI KAZI ULIOTUKUKA.
Yeyote anayeweza kufanya haya lazima atakutana na bahati na kibali cha kukubalika.
Kuna watu wanaumia kwa kujua kwamba INSIDER katoka huko mkoani kaja Dar kusoma na sasa anasumbua kuliko hata wenyeji.
 
Hili ni kweli kabisa.
 
Atupe ya 65 basi
 
Wenyeji hapo Ni wazaramo bhna of which hawana madhara yoyote

The rest wote Ni wahamiaji haramu walio toka pande zote za nchi hi [emoji23] kutafuta fursa na michongo
 
His episode inatakiwa iende kwenye tunda kimasihara vyenginevyo tutaandamana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…