Hata mm nimejiuliza au nnaumwa nn mbona cjadinda wala nn jamaa naona kaelezea kawaida tu yaani, anyways pengine tunatofautiaana jamani.
insider anatuzungusha sana jamaniyani ndo najua saiz kwamba zitapostiwa ndani ya wiki 3
Mwanamke anayevaa chupi nyeusi namchukulia kama mchafu.
Nitakutafuta nije hapo siku moja kwa sasa nipo safariniAhaaa kumbe...... Kuna demu mmja yupo kwa remi anaitwa Iryn anapika kitimoto swafii..... Ana pork point ni balaa..... Then home ni Sinza kwa wajanja.....
Uko sahihiZina mvuto wake aisee. Mwanamke awe mweupe au maji ya kunde halafu avae chupi nyeusi ambayo iko Well ventilated nyama ya ndani iwe inaonekana kwa mbaaali anakuwa na mvuto mno wa sex.
cocochanel endelea kupiga chupi nyeusi kama rangi inaruhusu
Punguza umama ...wanawake wanapenda sana hiyo kitu na wakiona hivyo nafsi zao hutulia na kujiona wanawanaumePamoja na kuchukulia kuwa hii story ni chai, lakini kuna mambo mengi ya kujifunza na mambo mengine ambayo hayajakaa sawa. Sasa Insiderman kumvua pichu Iryn ndo uanze kumdharau bosi wako? Sijapenda jinsi ulivyokuwa kama unamfokea Iryn alivyomfukuza Sumaiya! Tena haijakaa sawa jinsi ulivyokuwa kama unamfokea ulivyojua Iryn alikuwa anakuspy! Matukio haya yote mawili kwa upande wa Iryn alikuwa sahihi kwasababu ni Bossy hiko ndani ya uwezo wake kumsimamisha mfanyakazi akiona mambo hayajakaa sawa! Sasa wewe mwenyewe umeajiliwa alafu unahoji uhalali wa Bossy kumfukuza Sumaiya? Kuhusu kukuspy kama mwanamke anayejitambua kwa mtu anayempenda na kutaka kuanzisha mahusiano kuspy ni kawaida! Sasa Mr. Insider kama jinsi ulivyotuonyesha misimamo ya Iryn usije ukashangaa anakutema
Na ukileta za kuleta akakunyoshea bastola! Umezingua Insider
Zisingekuwa zinauzwa we lete true story haya mengne kaushiaMwanamke anayevaa chupi nyeusi namchukulia kama mchafu.
Swali la kijinga sana lenye utoto ndani yakeKwahio Iryn alivaa hio chupi nyeusi? Baada ya kumgegeda ndio unauliza hili swali mbona.
Pamoja na kuchukulia kuwa hii story ni chai, lakini kuna mambo mengi ya kujifunza na mambo mengine ambayo hayajakaa sawa. Sasa Insiderman kumvua pichu Iryn ndo uanze kumdharau bosi wako? Sijapenda jinsi ulivyokuwa kama unamfokea Iryn alivyomfukuza Sumaiya! Tena haijakaa sawa jinsi ulivyokuwa kama unamfokea ulivyojua Iryn alikuwa anakuspy! Matukio haya yote mawili kwa upande wa Iryn alikuwa sahihi kwasababu ni Bossy hiko ndani ya uwezo wake kumsimamisha mfanyakazi akiona mambo hayajakaa sawa! Sasa wewe mwenyewe umeajiliwa alafu unahoji uhalali wa Bossy kumfukuza Sumaiya? Kuhusu kukuspy kama mwanamke anayejitambua kwa mtu anayempenda na kutaka kuanzisha mahusiano kuspy ni kawaida! Sasa Mr. Insider kama jinsi ulivyotuonyesha misimamo ya Iryn usije ukashangaa anakutema
Na ukileta za kuleta akakunyoshea bastola! Umezingua Insider
Haina nouma mshua.,...Nitakutafuta nije hapo siku moja kwa sasa nipo safarini
Kuna Group langu la Whatsapp huwa natuma story hii na huwa wananilipa.Mkuu mimi kama Manager nina haki ya kuwatetea vijana wangu, huwezi kumsimamisha kazi mtu bila utaratibu wa barua, ni sheria ya wapi hii?. Kwenye kampuni masuala ya HR yako chini ya Mama Janeth yeye hapaswi kuyaingilia, alimsimamisha Sumaiya lakini hakumwambia mama Janeth, kwanini?.
Wewe unasoma story unaona Iryn kama ni humble sana ila alikuwa anazingua sana, na mimi sikuwahi kumkaripia zaidi ya kumchana ukweli. Alifanya hayo sababu ya hasira na wivu na maneno alokuwa anajazwa na Rebby.
Sumaiya ni mchapa kazi sana, kampuni ya usafi inakimbiza balaa kwasasa mpaka tender za serikali wanapata.
CEO huwezi mfukuza mtu kazi bila kukaa chini na Manager na mkajadili, na kwa upande wangu ningeonekana ni weak.
Kumpsy mtu kwa njia ya third party ni umbeya hakuna ukweli utakaopata maana Rebby naye alikuwa kimaslahi zaidi pia alikuwa hapatani na Sumaiya.
Hii yawezekana pia binafsi nimeona kawaida hakuna maajab[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sidhani kama kuwa ndowani muda mrefu ni tatizo nadhani labda ni vitu unavovifanya sana na wifey wako ko umeona ni kawaida tuu
Kuna Group langu la Whatsapp huwa natuma story hii na huwa wananilipa.
Sasa TANGIA ep no 64 hujatoa nyingine na mimi nakosa PESA sababu yako
Unaweza kunipa sababu za kwa nini nikose pesa kwa wewe kutokutoa muendelezo?.
Huoni kama nakosa PESA kwa uzembe wako na naweza kukushtaki kwa kunikosesha pesa MAKUSUDI
HahaaaaaKuna Group langu la Whatsapp huwa natuma story hii na huwa wananilipa.
Sasa TANGIA ep no 64 hujatoa nyingine na mimi nakosa PESA sababu yako
Unaweza kunipa sababu za kwa nini nikose pesa kwa wewe kutokutoa muendelezo?.
Huoni kama nakosa PESA kwa uzembe wako na naweza kukushtaki kwa kunikosesha pesa MAKUSUDI
Hahaaaa, jamaa kaamua kufunguka tu kama INSIDER MAN alivyokuwa anamfungukia IrynMkuu umevumilia mpaka basi sasa umeamua kumchana[emoji23][emoji23][emoji23] anakukosesha vp maokoto mzee.
Ila Maguire hauchoki kutoa maboko mzee. Sasa demu umemkaza, na una uhakika umemkaza vizuri, unamtongoza ili iweje tena kaka?
Yani baada ya kushinda uchaguzi, ndio unaanza kupiga kampeni?
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]