Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Kuna Group langu la Whatsapp huwa natuma story hii na huwa wananilipa.

Sasa TANGIA ep no 64 hujatoa nyingine na mimi nakosa PESA sababu yako

Unaweza kunipa sababu za kwa nini nikose pesa kwa wewe kutokutoa muendelezo?.

Huoni kama nakosa PESA kwa uzembe wako na naweza kukushtaki kwa kunikosesha pesa MAKUSUDI
Nimecheka hahahah
 
Wenyeji hapo Ni wazaramo bhna of which hawana madhara yoyote

The rest wote Ni wahamiaji haramu walio toka pande zote za nchi hi [emoji23] kutafuta fursa na michongo
Wazaramo ndio wenyeji wa Dar?

Hayo machimbo yote anayozungukia kijana wetu akipeleka wateja yanamilikiwa na wazaramo?
 
Kuna Group langu la Whatsapp huwa natuma story hii na huwa wananilipa.

Sasa TANGIA ep no 64 hujatoa nyingine na mimi nakosa PESA sababu yako

Unaweza kunipa sababu za kwa nini nikose pesa kwa wewe kutokutoa muendelezo?.

Huoni kama nakosa PESA kwa uzembe wako na naweza kukushtaki kwa kunikosesha pesa MAKUSUDI
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaa ila jf jamani
 
Kuna Group langu la Whatsapp huwa natuma story hii na huwa wananilipa.

Sasa TANGIA ep no 64 hujatoa nyingine na mimi nakosa PESA sababu yako

Unaweza kunipa sababu za kwa nini nikose pesa kwa wewe kutokutoa muendelezo?.

Huoni kama nakosa PESA kwa uzembe wako na naweza kukushtaki kwa kunikosesha pesa MAKUSUDI
Hapo wa kushtakiwa ni wewe unayeiba na kuuza story ambayo hujaitolea jasho.
 
Naamini naweza kuwa na tatizo la kiafya. Nimesoma episode ya 63 kawaida tu sijadinda wala kutamani nimeona kawaida tu. Ila naona comment watu wamelowa wengine wanadai wamedinda kwenye daladala.

Au sababu niko ndoani mda mrefu? [emoji848] usikute akili inaona usaliti.

mmash Nourhan
Itakuwa bado upo na wenge la ban mkuu [emoji23][emoji23]
 
Mkuu mimi kama Manager nina haki ya kuwatetea vijana wangu, huwezi kumsimamisha kazi mtu bila utaratibu wa barua, ni sheria ya wapi hii?. Kwenye kampuni masuala ya HR yako chini ya Mama Janeth yeye hapaswi kuyaingilia, alimsimamisha Sumaiya lakini hakumwambia mama Janeth, kwanini?.

Wewe unasoma story unaona Iryn kama ni humble sana ila alikuwa anazingua sana, na mimi sikuwahi kumkaripia zaidi ya kumchana ukweli. Alifanya hayo sababu ya hasira na wivu na maneno alokuwa anajazwa na Rebby.

Sumaiya ni mchapa kazi sana, kampuni ya usafi inakimbiza balaa kwasasa mpaka tender za serikali wanapata.

CEO huwezi mfukuza mtu kazi bila kukaa chini na Manager na mkajadili, na kwa upande wangu ningeonekana ni weak.

Kumpsy mtu kwa njia ya third party ni umbeya hakuna ukweli utakaopata maana Rebby naye alikuwa kimaslahi zaidi pia alikuwa hapatani na Sumaiya.
Wacha maneno poti.... weka vitu mezani tuendelee kunyonya!!!....

Huu muda unatumia kujibizana na hiyo Nguruwe!.... Ungekuwa umetuongezea raundi 1 wakwetu. Tuendelee kunyonya!
 
Kuna Group langu la Whatsapp huwa natuma story hii na huwa wananilipa.

Sasa TANGIA ep no 64 hujatoa nyingine na mimi nakosa PESA sababu yako

Unaweza kunipa sababu za kwa nini nikose pesa kwa wewe kutokutoa muendelezo?.

Huoni kama nakosa PESA kwa uzembe wako na naweza kukushtaki kwa kunikosesha pesa MAKUSUDI
F ....you...
 
Master WAPEKEYE hebu kuwa serious kidogo. umeamua kumchana InSIDER MAN ukweli bila kupepesa kama alivyomfanyia bosslady! nakupa ushauri wa kutunga muendelezo huko whatsapp ili uendelee kula pesa. After all, hadi EP64 umeshamfahamu Insider man na uelekeo wake katika hii Thread. just drive on
 
Kuna Group langu la Whatsapp huwa natuma story hii na huwa wananilipa.

Sasa TANGIA ep no 64 hujatoa nyingine na mimi nakosa PESA sababu yako

Unaweza kunipa sababu za kwa nini nikose pesa kwa wewe kutokutoa muendelezo?.

Huoni kama nakosa PESA kwa uzembe wako na naweza kukushtaki kwa kunikosesha pesa MAKUSUDI
👆This man is just joking😁 wala msimshambulie kwa maneno makali. Jaribu kufikiria angekuwa anaingiza pesa kupitia hii simulizi je angeropoka kiasi hicho!!
Hata kama ningekuwa ni mm nisinge fanya hivyo, kwani najuwa mwenye stori atazingua.... ..
U made my day!!
🤣🤣🤣🤣😂😂
 
Back
Top Bottom