Mkuu mimi kama Manager nina haki ya kuwatetea vijana wangu, huwezi kumsimamisha kazi mtu bila utaratibu wa barua, ni sheria ya wapi hii?. Kwenye kampuni masuala ya HR yako chini ya Mama Janeth yeye hapaswi kuyaingilia, alimsimamisha Sumaiya lakini hakumwambia mama Janeth, kwanini?.
Wewe unasoma story unaona Iryn kama ni humble sana ila alikuwa anazingua sana, na mimi sikuwahi kumkaripia zaidi ya kumchana ukweli. Alifanya hayo sababu ya hasira na wivu na maneno alokuwa anajazwa na Rebby.
Sumaiya ni mchapa kazi sana, kampuni ya usafi inakimbiza balaa kwasasa mpaka tender za serikali wanapata.
CEO huwezi mfukuza mtu kazi bila kukaa chini na Manager na mkajadili, na kwa upande wangu ningeonekana ni weak.
Kumpsy mtu kwa njia ya third party ni umbeya hakuna ukweli utakaopata maana Rebby naye alikuwa kimaslahi zaidi pia alikuwa hapatani na Sumaiya.