Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

65..? Lini
Hii story sasa ilishaanza kuchosha kama ile magofu ya rhapta. Kuwasubirisha watu bila sababu za msingi. Nakumbuka msimuliaji alisema ameshaandika episodes zote na ameshazipitia so week hii atakuwa anaziachia mfululizo. Lkn cha kushangaza kimya tu. Hilo ndio jambo linalowaharibia waandishi wengi. ARROGANCE. Yaani mwandishi akishaona story yake inafuatiliwa na watu wengi na inapendwa anaanza arrogances not fair kwa wasomaji wako.
 
Nikajua mwenyewe ndo naona hivyo, Ana mambo ya kipuuzi sana. Anyway ndo kipimo cha akili yake, na huenda ana mission zake humu, kwahiyo anazidi kuwapiga as he delays the story while attracting the fools

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii story sasa ilishaanza kuchosha kama ile magofu ya rhapta. Kuwasubirisha watu bila sababu za msingi. Nakumbuka msimuliaji alisema ameshaandika episodes zote na ameshazipitia so week hii atakuwa anaziachia mfululizo. Lkn cha kushangaza kimya tu. Hilo ndio jambo linalowaharibia waandishi wengi. ARROGANCE. Yaani mwandishi akishaona story yake inafuatiliwa na watu wengi na inapendwa anaanza arrogances not fair kwa wasomaji wako.
Kabsa ashaanza kuvimba 🤣🤣🤣
 
Naona watu wanatoka udenda, wamelowa, waliosema story ya uongo wamepotea, wengine wamedinda, wengine wanasoma mara mbili mbili, na kuna wengine wame save kwenye simu zao episode ya 63. Nisije kuwa na tatizo la kiafya nikaona niulize wadau kwa sababu naona kawaida tu
Hahahaha!.

Huna tatizo hata kidogo. Mimi pia nimesoma hata kusisimka kidogo hakuna.

Nadhani ni upokeaji wa Ubongo. Mfano, mimi nikisoma story za majonzi, mateso na maumivu, japo najua kabisa ni story ila hunipa hisia kali sana. Kiasi cha kuanza kulengwa na machozi kabisa.
 
Hii story sasa ilishaanza kuchosha kama ile magofu ya rhapta. Kuwasubirisha watu bila sababu za msingi. Nakumbuka msimuliaji alisema ameshaandika episodes zote na ameshazipitia so week hii atakuwa anaziachia mfululizo. Lkn cha kushangaza kimya tu. Hilo ndio jambo linalowaharibia waandishi wengi. ARROGANCE. Yaani mwandishi akishaona story yake inafuatiliwa na watu wengi na inapendwa anaanza arrogances not fair kwa wasomaji wako.

Insider ana maisha anayaendesha. Lazima afanye kazi na muda wa ziada ndo anaandika. Alisema hivyo na akaahidi kuupdate siku za IJUMAA,JUMAMOSI na JUMAPILI na amekuwa akifanya hivyo. Vuteni subira wakulungwa
 
dah mdau weka hata moja najua zimebakia saba
Utashangaa episodes zitafika hata mia. Kumbuka at the very beginning of the story alisema epesode hazitazidi 30 lkn jamaa alivyo ona watu wamevutiwa ameamua kuongeza matukio mpaka sasa zipo hapo . Nina choona jamaa anatembea na upepo wa wasomaji yaani the way tunavyoshoboka na stori ndio anazidi kudelay kuileta na kuendelea kuongeza other episodes. ARROGANCE.
 
You can Ignore, lakini sio kunipangia maana hunilipi hata cent. Nishindwe kutafuta hela ili nikuandikie wewe story?, au hauna mambo ya msingi ya kufanya kwenye maisha yako.??

Niliandika humu ndani story itakuwa inakuja weekend, kuna weekend ilipita sijapost??.
 
ila mkuu fanya basi hata moja walakini

Kuandika story so shida kuipitia inahitaji utulivu wa hali juu sana, mimi mwenyewe kwa upande wangu nimechoka na huu uzi natamani hata leo nimalize hizi episode 6 tatizo nakosa muda wa kutulia na mambo mengi sana.

Nikimaliza kupitia episode moja nitakuwa na post siku yoyote na muda wowote kuanzia sasa.

Hata zikiisha hizo episode 70 kuna watu humu ndani watataka mwendelezo.
 
sawa najua unabanwa na najukumu mengine ila jitahidi angalau usikawie mkuu
 
Achana nao
Kuandika story so shida kuipitia inahitaji utulivu wa hali juu sana, mimi mwenyewe kwa upande wangu nimechoka na huu uzi natamani hata leo nimalize hizi episode 6 tatizo nakosa muda wa kutulia na mambo mengi sana.

Nikimaliza kupitia episode moja nitakuwa na post siku yoyote na muda wowote kuanzia sasa.

Hata zikiisha hizo episode 70 kuna watu humu ndani watataka mwendelezo.
 
Kuandika story so shida kuipitia inahitaji utulivu wa hali juu sana, mimi mwenyewe kwa upande wangu nimechoka na huu uzi natamani hata leo nimalize hizi episode 6 tatizo nakosa muda wa kutulia na mambo mengi sana.

Nikimaliza kupitia episode moja nitakuwa na post siku yoyote na muda wowote kuanzia sasa.

Hata zikiisha hizo episode 70 kuna watu humu ndani watataka mwendelezo.
Wewe mmaliza hizo 70. Ukisema The end tutasema nn sisi
 
Back
Top Bottom