Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii story sasa ilishaanza kuchosha kama ile magofu ya rhapta. Kuwasubirisha watu bila sababu za msingi. Nakumbuka msimuliaji alisema ameshaandika episodes zote na ameshazipitia so week hii atakuwa anaziachia mfululizo. Lkn cha kushangaza kimya tu. Hilo ndio jambo linalowaharibia waandishi wengi. ARROGANCE. Yaani mwandishi akishaona story yake inafuatiliwa na watu wengi na inapendwa anaanza arrogances not fair kwa wasomaji wako.65..? Lini
Nikajua mwenyewe ndo naona hivyo, Ana mambo ya kipuuzi sana. Anyway ndo kipimo cha akili yake, na huenda ana mission zake humu, kwahiyo anazidi kuwapiga as he delays the story while attracting the foolsHii story sasa ilishaanza kuchosha kama ile magofu ya rhapta. Kuwasubirisha watu bila sababu za msingi. Nakumbuka msimuliaji alisema ameshaandika episodes zote na ameshazipitia so week hii atakuwa anaziachia mfululizo. Lkn cha kushangaza kimya tu. Hilo ndio jambo linalowaharibia waandishi wengi. ARROGANCE. Yaani mwandishi akishaona story yake inafuatiliwa na watu wengi na inapendwa anaanza arrogances not fair kwa wasomaji wako.
Kabsa ashaanza kuvimba 🤣🤣🤣Hii story sasa ilishaanza kuchosha kama ile magofu ya rhapta. Kuwasubirisha watu bila sababu za msingi. Nakumbuka msimuliaji alisema ameshaandika episodes zote na ameshazipitia so week hii atakuwa anaziachia mfululizo. Lkn cha kushangaza kimya tu. Hilo ndio jambo linalowaharibia waandishi wengi. ARROGANCE. Yaani mwandishi akishaona story yake inafuatiliwa na watu wengi na inapendwa anaanza arrogances not fair kwa wasomaji wako.
Hahahaha!.Naona watu wanatoka udenda, wamelowa, waliosema story ya uongo wamepotea, wengine wamedinda, wengine wanasoma mara mbili mbili, na kuna wengine wame save kwenye simu zao episode ya 63. Nisije kuwa na tatizo la kiafya nikaona niulize wadau kwa sababu naona kawaida tu
Hii story sasa ilishaanza kuchosha kama ile magofu ya rhapta. Kuwasubirisha watu bila sababu za msingi. Nakumbuka msimuliaji alisema ameshaandika episodes zote na ameshazipitia so week hii atakuwa anaziachia mfululizo. Lkn cha kushangaza kimya tu. Hilo ndio jambo linalowaharibia waandishi wengi. ARROGANCE. Yaani mwandishi akishaona story yake inafuatiliwa na watu wengi na inapendwa anaanza arrogances not fair kwa wasomaji wako.
Utashangaa episodes zitafika hata mia. Kumbuka at the very beginning of the story alisema epesode hazitazidi 30 lkn jamaa alivyo ona watu wamevutiwa ameamua kuongeza matukio mpaka sasa zipo hapo . Nina choona jamaa anatembea na upepo wa wasomaji yaani the way tunavyoshoboka na stori ndio anazidi kudelay kuileta na kuendelea kuongeza other episodes. ARROGANCE.dah mdau weka hata moja najua zimebakia saba
Utashangaa episodes zitafika hata mia. Kumbuka at the very beginning of the story alisema epesode hazitazidi 30 lkn jamaa alivyo ona watu wamevutiwa ameamua kuongeza matukio mpaka sasa zipo hapo . Nina choona jamaa anatembea na upepo wa wasomaji yaani the way tunavyoshoboka na stori ndio anazidi kudelay kuileta na kuendelea kuongeza other episodes. ARROGANCE.
ila mkuu fanya basi hata moja walakiniYou can Ignore, lakini sio kunipangia maana hunilipi hata cent. Nishindwe kutafuta hela ili nikuandikie wewe story?, au hauna mambo ya msingi ya kufanya kwenye maisha yako.??
ila mkuu fanya basi hata moja walakini
sawa najua unabanwa na najukumu mengine ila jitahidi angalau usikawie mkuuKuandika story so shida kuipitia inahitaji utulivu wa hali juu sana, mimi mwenyewe kwa upande wangu nimechoka na huu uzi natamani hata leo nimalize hizi episode 6 tatizo nakosa muda wa kutulia na mambo mengi sana.
Nikimaliza kupitia episode moja nitakuwa na post siku yoyote na muda wowote kuanzia sasa.
Hata zikiisha hizo episode 70 kuna watu humu ndani watataka mwendelezo.
sawa najua unabanwa na najukumu mengine ila jitahidi angalau usikawie mkuu
Kuandika story so shida kuipitia inahitaji utulivu wa hali juu sana, mimi mwenyewe kwa upande wangu nimechoka na huu uzi natamani hata leo nimalize hizi episode 6 tatizo nakosa muda wa kutulia na mambo mengi sana.
Nikimaliza kupitia episode moja nitakuwa na post siku yoyote na muda wowote kuanzia sasa.
Hata zikiisha hizo episode 70 kuna watu humu ndani watataka mwendelezo.
Kati ya watu ambao mna roho nzuri kwenye kuchakata mbususu na wewe ni miongoni mwao hapo ningekuwa ni mm kati ya wanawake unaowataja mm nishapita nao wote babuBETTER LATE THAN NEVER
Wewe mmaliza hizo 70. Ukisema The end tutasema nn sisiKuandika story so shida kuipitia inahitaji utulivu wa hali juu sana, mimi mwenyewe kwa upande wangu nimechoka na huu uzi natamani hata leo nimalize hizi episode 6 tatizo nakosa muda wa kutulia na mambo mengi sana.
Nikimaliza kupitia episode moja nitakuwa na post siku yoyote na muda wowote kuanzia sasa.
Hata zikiisha hizo episode 70 kuna watu humu ndani watataka mwendelezo.