Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Hii story sasa ilishaanza kuchosha kama ile magofu ya rhapta. Kuwasubirisha watu bila sababu za msingi. Nakumbuka msimuliaji alisema ameshaandika episodes zote na ameshazipitia so week hii atakuwa anaziachia mfululizo. Lkn cha kushangaza kimya tu. Hilo ndio jambo linalowaharibia waandishi wengi. ARROGANCE. Yaani mwandishi akishaona story yake inafuatiliwa na watu wengi na inapendwa anaanza arrogances not fair kwa wasomaji wako.
Yaani kama umeyatoa maneno yangu kinywani nikitaka kusema hivyo hivyo Kuwa Jamaa mzinguaji
 
Insider ana maisha anayaendesha. Lazima afanye kazi na muda wa ziada ndo anaandika. Alisema hivyo na akaahidi kuupdate siku za IJUMAA,JUMAMOSI na JUMAPILI na amekuwa akifanya hivyo. Vuteni subira wakulungwa
Hivi umesoma ulichokuandika au unataka kuchangamsha genge, hivi ijumaa, jumamosi na jumapili ni siku ngapi?
 
Udugu Antonnia finally leo nimeisoma episode 63 ila sijaloa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sijui why mwili umegoma, sijui kwa vile ushazoea kuwa single [emoji23][emoji23][emoji23]

[mention]Gily Gru [/mention] mwenzako mwingine huyu hapa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119] jamani kwa mliolowa ilikuaje kuaje em tupeni mbwinu[emoji1787]
 
You can Ignore, lakini sio kunipangia maana hunilipi hata cent. Nishindwe kutafuta hela ili nikuandikie wewe story?, au hauna mambo ya msingi ya kufanya kwenye maisha yako.??

Niliandika humu ndani story itakuwa inakuja weekend, kuna weekend ilipita sijapost??.
Acha maneno ya shombo, hata wewe unaweza ukam_ignore yeye, jf si mali yako, usimnyime nafasi ya kutoa ya moyoni mwake.

Juzi umesema episode zote zipo tayari mpaka 70, sababu ya kutoziweka ni nini? usijishaue we mtoto wa kiume.
 
Acha maneno ya shombo, hata wewe unaweza ukam_ignore yeye, jf si mali yako, usimnyime nafasi ya kutoa ya moyoni mwake.

Juzi umesema episode zote zipo tayari mpaka 70, sababu ya kutoziweka ni nini? usijishaue we mtoto wa kiume.
Sio mali yake sasa unafanya nini kwenye thread yake? Au unataka kutongozwa? alishawai kukutag hapa si ulijeta mwenyewe?. Unakuta mwanaume mzima ba ndevu unalilia Epsode 😂
 
[mention]Gily Gru [/mention] mwenzako mwingine huyu hapa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119] jamani kwa mliolowa ilikuaje kuaje em tupeni mbwinu[emoji1787]
Hahaha humu kuna watu wanashangaza

Mimi ni mwanaume rijali ngoja nikae mbali na wanaume wa dar. Ila nashangaa kuna wanaume humu wanaloa😬 wanaloa wapi?
hqdefault.jpg

Nourhan Dr Restart mwanaume analowa wapi? Maana vijana wanalalamika wamelowa
 
Hahaha humu kuna watu wanashangaza

Mimi ni mwanaume rijali ngoja nikae mbali na wanaume wa dar. Ila nashangaa kuna wanaume humu wanaloa[emoji51] wanaloa wapi?
View attachment 2779394
Nourhan Dr Restart mwanaume analowa wapi? Maana vijana wanalalamika wamelowa

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] haya mambo yanachekesha sana kwakweli
 
Kuandika story so shida kuipitia inahitaji utulivu wa hali juu sana, mimi mwenyewe kwa upande wangu nimechoka na huu uzi natamani hata leo nimalize hizi episode 6 tatizo nakosa muda wa kutulia na mambo mengi sana.

Nikimaliza kupitia episode moja nitakuwa na post siku yoyote na muda wowote kuanzia sasa.

Hata zikiisha hizo episode 70 kuna watu humu ndani watataka mwendelezo.
[emoji23][emoji23][emoji23]mwendelezo muhimu mkuu@INSIDER MAN

Sent from my SM-G950U1 using JamiiForums mobile app
 
Duh! Mkuu umetisha[emoji2760][emoji2760][emoji2760][emoji2760][emoji2760]
 
Mkuu mimi kama Manager nina haki ya kuwatetea vijana wangu, huwezi kumsimamisha kazi mtu bila utaratibu wa barua, ni sheria ya wapi hii?. Kwenye kampuni masuala ya HR yako chini ya Mama Janeth yeye hapaswi kuyaingilia, alimsimamisha Sumaiya lakini hakumwambia mama Janeth, kwanini?.

Wewe unasoma story unaona Iryn kama ni humble sana ila alikuwa anazingua sana, na mimi sikuwahi kumkaripia zaidi ya kumchana ukweli. Alifanya hayo sababu ya hasira na wivu na maneno alokuwa anajazwa na Rebby.

Sumaiya ni mchapa kazi sana, kampuni ya usafi inakimbiza balaa kwasasa mpaka tender za serikali wanapata.

CEO huwezi mfukuza mtu kazi bila kukaa chini na Manager na mkajadili, na kwa upande wangu ningeonekana ni weak.

Kumpsy mtu kwa njia ya third party ni umbeya hakuna ukweli utakaopata maana Rebby naye alikuwa kimaslahi zaidi pia alikuwa hapatani na Sumaiya.
Uko vizuri
 
Kuna Group langu la Whatsapp huwa natuma story hii na huwa wananilipa.

Sasa TANGIA ep no 64 hujatoa nyingine na mimi nakosa PESA sababu yako

Unaweza kunipa sababu za kwa nini nikose pesa kwa wewe kutokutoa muendelezo?.

Huoni kama nakosa PESA kwa uzembe wako na naweza kukushtaki kwa kunikosesha pesa MAKUSUDI
Bahati kwako unaongea kwa utani. Vinginevyo kitakachokukuta mimi simo
 
Back
Top Bottom