Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Duh, Iyrn anakuja kwako, usipaishe mpira sasa tena mkuu [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Achana nae, sisi tunataka kuona utuandikia upatapo muda hata sisi muda wa kusoma ni usiku au weekend maana tunarudi kutoka makazini tushachoka, raha ya story ya maisha yako usome ukiwa na nguvu sio unasinziasinzia,. Huyo atakuwa hana majukumu au kazi, so wewe tuandikie upatapo muda, haya week days tuandikie ila ukipata mudaa, tutasoma hata episod zikifika miaaaa
 
Uendeleage basi maisha utakavyoanza shule tuone unawezaje manage shule na kazi, one[emoji3590]
 
Aaachi gigjgiji jii
 
Wakati nikiendelea kuwa busy na laptop yangu kwa upande mwingine nilisikia mlango unagongwa kwa mbali hivyo ilibidi nisogee nikafungue, na kabla sijafungua ilibidi niulize nani, na kwa mbali nilisikia sauti ya Iryn.

Hewalaaaa...

Naamini baada ya hapo laptop ikafunikwa ngaaaah...

Project ya kula zabibu za Dodoma ikaendelea ngiiiih...
 
Mbona unatuacha na maswali kuwa iryn kafuata nn usku huu kwako
 
Mbona unatuacha na maswali kuwa iryn kafuata nn usku huu kwako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…