Leo bado hatujaona 66 hapaHivi ameshaweka leo au ndio mpaka jumapili?
Tumpe mudaLeo bado hatujaona 66 hapa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwa upande mwingine niko nasubiria next episode kwa hamu sana.Kwa upande mwingine niliishia kusoma story na kwa upande wangu nikaona bora nicomment na nikaishia kufurahi tuu. Kwa upande mwingine wadau wanaishia kuifurahia story nasubiri kuona kwa upande wa wanaosema hii ni chai wanaendeleaje.
Thread ikiwekwa humu siyo mali yake tena ni mali ya uma, otherwise angeweka chumbani kwake. Halafu ficha aibu zako, don't drag me to your level.Sio mali yake sasa unafanya nini kwenye thread yake? Au unataka kutongozwa? alishawai kukutag hapa si ulijeta mwenyewe?. Unakuta mwanaume mzima ba ndevu unalilia Epsode [emoji23]
Andika na wewe yako tuisome sio kumpangia mtu afanye unavyotaka wewe, akili zako hazina utofauti na SumaiyaThread ikiwekwa humu siyo mali yake tena ni mali ya uma, otherwise angeweka chumbani kwake. Halafu ficha aibu zako, don't drag me to your level.
RubbishBabe Iryn anataka Tena kuikalia kwa juu.
Anyway mkule tu na sisi huku tutakuula stori na nyetoo.
Sawa mkuuTumpe muda
Kwa upande mwingn mmekamia.... Kwa upande mwngn ilkuwa jumapl natakiwa kuonana na mama wa2Kwa upande mwingine inawezekana akawa anaihariri muda huu kabla ya kuitupia ili Kwa upande mwingine mpate kufurahi[emoji28][emoji28]
Braza.... Braza.... Ety akili zake[emoji1787][emoji1787]Andika na wewe yako tuisome sio kumpangia mtu afanye unavyotaka wewe, akili zako hazina utofauti na Sumaiya
Bless up
Kwa upande mwingine niliishia kusoma story na kwa upande wangu nikaona bora nicomment na nikaishia kufurahi tuu. Kwa upande mwingine wadau wanaishia kuifurahia story nasubiri kuona kwa upande wa wanaosema hii ni chai wanaendeleaje.
daah! Hili neno "kwa upande mwingine" naona likume.....Kwa upande mwingn mmekamia.... Kwa upande mwngn ilkuwa jumapl natakiwa kuonana na mama wa2
Sent from my Infinix X653 using JamiiForums mobile app
Michezo ya Kubahatisha na Hatma ya Taifa la [emoji1241]Tukabet sasa leo wikiend..
Unamaanisha nini kwenye hii comment yako?Story yako sana mkuu