Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Kwa upande mwingine niliishia kusoma story na kwa upande wangu nikaona bora nicomment na nikaishia kufurahi tuu. Kwa upande mwingine wadau wanaishia kuifurahia story nasubiri kuona kwa upande wa wanaosema hii ni chai wanaendeleaje.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwa upande mwingine niko nasubiria next episode kwa hamu sana.
 
Kwa upande mwingine inawezekana akawa anaihariri muda huu kabla ya kuitupia ili Kwa upande mwingine mpate kufurahi😅😅
 
Sio mali yake sasa unafanya nini kwenye thread yake? Au unataka kutongozwa? alishawai kukutag hapa si ulijeta mwenyewe?. Unakuta mwanaume mzima ba ndevu unalilia Epsode [emoji23]
Thread ikiwekwa humu siyo mali yake tena ni mali ya uma, otherwise angeweka chumbani kwake. Halafu ficha aibu zako, don't drag me to your level.
 
Kwa upande mwingine niliishia kusoma story na kwa upande wangu nikaona bora nicomment na nikaishia kufurahi tuu. Kwa upande mwingine wadau wanaishia kuifurahia story nasubiri kuona kwa upande wa wanaosema hii ni chai wanaendeleaje.

Yani hana maneno mengine zaidi ya hayo🥱
 
Back
Top Bottom