Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Kwa upande mwingine nimeingia Dsm na Tanesco wamekata umeme.
Mh nakuambia tafadhali sana tena tafadhali mno, mambo ya umeme sisi hajatuhusu tunachotaka ni story, matatizo tunayopata ya kufungua huu uzi kila baada ya saa1 umeyasababisha wewe, naomba sana uzingatie makubaliano yetu, isingekuwa ulipost episode katikati ya week pangekuwa pamechimbika hapa maana jana hujapost. mkuu usitake kabisa kuleta mzaha kwenye hila jambo tutaonana wabaya, wengine tuna mkono mrefu ujue. NIMEMALIZA, KAZI KWAKO.

Sijataka kabisa kutumia maneno kwa upande mwingine maana kwa upande mwingine taarifa yako imenikera sana.
 
ila mr insider na BM story zenu ni nzuri sanaa. Jaman kama kuna story zingine inayoshabiana na hizi naombeni link wakuu.
 
Udom pisi hakuna mpaka uende humanities au social pale, lakini pisikali zipo CBE na mipango.

Nashera hotel ni muda nimeenda pale kufuata mademu fulani....sema morena ndiyo classy
So ukisema social unamanisha nini? Mana udom inaanzia chimwaga.mpaka medicine. Au weee nhuwa unaendaga ngo'ngona mzee.kuvizia wale wanaokujaga kujumua pale sabasaba.madumla ya nyanya
 

[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…