Mh nakuambia tafadhali sana tena tafadhali mno, mambo ya umeme sisi hajatuhusu tunachotaka ni story, matatizo tunayopata ya kufungua huu uzi kila baada ya saa1 umeyasababisha wewe, naomba sana uzingatie makubaliano yetu, isingekuwa ulipost episode katikati ya week pangekuwa pamechimbika hapa maana jana hujapost. mkuu usitake kabisa kuleta mzaha kwenye hila jambo tutaonana wabaya, wengine tuna mkono mrefu ujue. NIMEMALIZA, KAZI KWAKO.
Sijataka kabisa kutumia maneno kwa upande mwingine maana kwa upande mwingine taarifa yako imenikera sana.