Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Umaskini unatufanya tuwe wachoyo [emoji24][emoji24]
 
Kwa upande mwingine nina furaha Iryn ameingia kwenye mfumo na ana furaha, kilichobaki tujitahidi mpaka anapoenda kuanza chuo awe tayari anatema mate ili asijaribu kabisa kupata mtu mwingine huko maana mawifi tayari tumempitisha na tumempokea kwa mikono miwili. Mama J tusamehe hatuna jinsi tuvumilie tu
 
Kigi Makasi
umepita huku leo
Antonnia cousin ujee
Barikiwa sana cousin thanks kwa tag.. naona inaenda ukingoni I guess Insider atachukua chuma ( Iryn) kws upande wa mama J sijui itakuaje kwa akijua anashare tamu yake na Iryn shost ake wakushibana! au atakubali washee mwamba as mke mkubwa na mdogo🤠
Au ndio kasurrender kukubali kuwa certified mchep!

Let's wait and see!!

Mambo kunogaaa!!
 
Udugu Antonnia finally leo nimeisoma episode 63 ila sijaloa 🤣🤣🤣
Sijui why mwili umegoma, sijui kwa vile ushazoea kuwa single 😂😂😂
Weee uduguuu weeeeehh uongoooo!! Lazima network ikate utakua umekaza fuvu tuuuu😁!
 
Amazing episode woyoooh
 

Mzee baba wakati mwingine huwa na maswali yasiyo ya lazima wala mantiki ...

Kwa kadiri ambavyo umetusimulia mahusiano yako na Iryn kikazi na kibiashara, alikuwa ni mtu anayekuamini sana hivyo hata kukuachia ATM kadi ukatoe pesa lisingekuwa jambo la yeye kujiuliza maswali ya uaminifu, plus kiasi chochote ambacho ungetoa bado angeona kiasi kilichotolewa...
 
Sawa lakini bado ni swali zuri......ujue hamnaga urafiki kwenye pesa hela ilikuwa ndeefu Sana ni Uaminifu tu nampa kongole ndugu yetu
 
Kaka email yangu hutapitia bado nilituma toka tarehe 29 sept
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…