Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Amazing episode woyoooh
 

Mzee baba wakati mwingine huwa na maswali yasiyo ya lazima wala mantiki ...

Kwa kadiri ambavyo umetusimulia mahusiano yako na Iryn kikazi na kibiashara, alikuwa ni mtu anayekuamini sana hivyo hata kukuachia ATM kadi ukatoe pesa lisingekuwa jambo la yeye kujiuliza maswali ya uaminifu, plus kiasi chochote ambacho ungetoa bado angeona kiasi kilichotolewa...
 
Sawa lakini bado ni swali zuri......ujue hamnaga urafiki kwenye pesa hela ilikuwa ndeefu Sana ni Uaminifu tu nampa kongole ndugu yetu
 
Kaka email yangu hutapitia bado nilituma toka tarehe 29 sept
 
Baada jamaa kumshtukia kuwa story yake ni chai akaamua kutimiza matakwa ya wachambuzi, na hii ikasibitisha ni chai kweli, anchagua nin chakuwapa ili mmuamin lakn hii ni chai tuh. Sema tunaburudika tuh hapa mwamba kama shigongo vile
Akili zako huna tofauti na Rebeca ( NiggaPac writting
 
Ingekuwa wewe ni Mama J baada ya kujua kuwa mumeo ana mchepuko mrembo na tajiri ungefanya nini?
 
[emoji3578][emoji3578]
 
Ingekuwa wewe ni Mama J baada ya kujua kuwa mumeo ana mchepuko mrembo na tajiri ungefanya nini?
Kwa moyo wangu mimi na venye naridhikaga na shida zangu asee nisingekubaliii hakuna mwanamke anaefurahia kushea mume, hakunaa!
Hasa mume anaejielewaaaa weeeeh!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…