Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Kutoka ubutu (ditram nchimbi) mpaka kuwa Messi kila ukipewa ball now ni kamba tunashangilia tu sasa woyo woyo.
 
Ngoja TCRA wakuone ww naona unataka mwaka mmoja jela na VPN zako hizo
Punguza uoga!... Pia uijue sheria!.... Kuwa na VPN sio kesi, shida ni unaitumiaje hiyo VPN!?... Wao ndio wanapaswa waidhibiti kama Wana hizo guts!? Ama ni maneno tu ya kutishatisha watu...

Maana wanajua man'gombe na makunguru ni mengi!

Unaogopa kosa ambalo hulijui/halipo!!.. watz bana!...

Mfana hapo nikikuuliza hapo kosa langu liko wapi!? Utanijibuje!? Hujui... jiamini

Wanashindwa mambo madogo kitambulisho tu cha Taifa ...

wanahangaikia VPN!? Upuuzi kudhibiti kisichodhibitika kwa vitisho...

Kuna vitu huwezifanya bila VPN... na VPN haepukiki

Unafikiri wote tunaangalia mapaja!? Hata insta na TikTok si yapo!

Ukikua Utajua VPN ina kazi Gani!
 

Ndio maana una maneno mengiiiii kama wapogoro...
 
IRENE....., Code zishafunguka au nitaje mpaka jina lake...., ofisi zake....., Na kwa hyo Bi mkubwa wake ambaye now hayupo TZ[emoji28][emoji28]View attachment 2781966
Ki-Iryn gani kibaya hivi?, sura ngumu imerainishwa tu na mawese kwa muda.

Hivi hamuelewi mkiambiwa Iryn mzuri sana,mlain? nyie endeleeni kufananisha na mapapai yenu ya magomeni hayo
 

Ushoga uyoga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119] wapi mama j huko ulipo jamani[emoji1787][emoji174][emoji174]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…