Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Kuna mnada upo Handeni mjini unaitwa Ndelema nyama inayochomwa pale sio poa ni tamu sijapata ona
 
Wacha niende bambalaga hapo kuna mtu nionane naye .....[emoji23]
 
Wacha niende bambalaga hapo kuna mtu nionane na [emoji23]
 
Antonnia Kigi Makasi
Nmependa hapo mwisho daadeki
Noumaaa nanusuuuu cousin... Dyudyu hainaga ubosiii🤠🤠😂!
Bossi lady kauelewa mziki mnenee wa mwambaa hahahaaa... !
Sema wanaume hawaridhikagi uduguuu!
Pamoja na kuwa na Mtoto mkaree clasyy afu smart full mapenee unaeza shangaa akahangaika na kina sumaiya mcharuko!

Wanaume 🙌🙌🙌!
 
Boss lady anataka kumiliki jimbo mazima shubaamit
 
Iryn analeta pigo za sitaki nataka hatimae rasmi katamka kwa kinywa chake yeye ni mali ya insideer


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…