Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Hata mi nimependa Utu wa kusaidia na kujichanganyaa na kutojikweza I like that!
Sema alipotaka kumiliki mme wa mtu mazima mi Sijapentaaa!

Mume anauma nyieee!!
Kizuri kula na nduguyo cousin wacha apunguzwe stelesi kidogo..Grizzman yupo mbali
 
Iryn analeta pigo za sitaki nataka hatimae rasmi katamka kwa kinywa chake yeye ni mali ya insideer


Sent using Jamii Forums mobile app
Alitaka nature iplay part yake kwa zile pigo uvumilivu umemshinda kajiripua tu liwalo na liwe !

Sasa Insaida mazoea na wale vijakazi wa boss lady asitishe Asap haipendezi kiukweli na ndiomana Iryn anammind kidizain! Hakinaga mazoea ya kawaida ya simba na swala haoooo hio!
 
Mimi nimependa sehemu hii
"
Baada ya kufika kwake kweli alikuwa anaumwa sana hata kuongea alikuwa anashindwa na Iryn palepale akatoa odda apelekwe hospital, na mtendaji alisema apelekwe Kondoa mjini na Iryn alitoa pesa ya usafiri pale.

Tuliendelea Kutembelea watu wengine na Iryn hasa aliwatarget wamama wajane ambao wanahali ngumu za maisha na wazee. Tulitembelea watu wengi sana mpaka akasema bhasi inatosha maana pesa ilikata, ukweli kule vijijini kuna watu wanashida sana. Niseme vijijini kuna watu wanashida sana na wanakosa msaada jamani, tujenge mazoea ya kwenda huko vijijini kuna watu wana hali mbaya sana na wanaishi maisha magumu."
 
Mr. Insider man! Ebu ni pm! Ukiona una amani ebu ni pm! Kwasababu hauruhusu pm kwako! Hii story nimekuwa nauchukulia kuwa chai! Uenda ni chai lakini who cares? Whether ni chai au la! Cha muhimu ni message! Nimependa message (mahudhui) ya hii story
 
Mmh sawa mama A .....kuna sehemu itabidi nikucheki unizururishe 🀩
 
Nature ilisha play Iryn akavunga nakumuambia insideer ile ilitokea kama ajali asahau kumvua chupi tena boss lady akawa anampimia meneja kaona meneja hana papara isiwe tabu kaukubali mziki wa meneja acha ajisevie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nature ilisha play Iryn akavunga nakumuambia insideer ile ilitokea kama ajali asahau kumvua chupi tena boss lady akawa anampimia meneja kaona meneja hana papara isiwe tabu kaukubali mziki wa meneja acha ajisevie

Sent using Jamii Forums mobile app
Ile ilikua zuga tu vile alikua anabeep kusikilizia reaction ya insider!
Si unajua wanawake tunapenda kubembelezwa🀠🀠🀠!
 
Kwa kuwa INSIDER ni rasmi kaingia war zone nashauri mama J angepatiwa hata mwana bodi wa kumpigisha Stori incase kijana wetu anapata any emergency ya kesho hatuyajui.
 
Sema sisi watu haturidhikiii tulitaka qeen aliwe imetick, saizi tunataka kabla ya mama j kurudi mate yasiwe yanakaa mdomoni, baada ya hapo tutataka tena insider awe ndo last say wa kila kitu
 
Najua ilikua zuga alikua anampimia meneja aone atachukua hatua gani

Ngoma ipo mama J akishajua anaibiwa na rafiki yake [emoji848]

Sent using Jamii Forums mobile app
Lazima aumie hata kama they were friends...Kushea kusikie kwa jirani tu!!
Na urafiki lazima uishe sijajua moyo wa mama J japo kwa story anaonekana ana Wivu sanaa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…