Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu


Mchaga ametishaaa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚!
 
Mie team kubaki njia kuu bestie ila Iryn ndie main character of the story mwanamke wa ajabu aliempata kutoka biznee ya uber sa ntafanyejeπŸ€”! Acha tu achukue chombo Iryn !
Sema credit kwa iryn hana majivuno ,haringi na anajitambua ...japo izo sifa wangepata baadhi ya watu hio kazi ndugu yetu angeshaachishwa zamani Sana KWA visanga alivompatia Boss lady
 
Mie team kubaki njia kuu bestie ila Iryn ndie main character of the story mwanamke wa ajabu aliempata kutoka biznee ya uber sa ntafanyeje[emoji848]! Acha tu achukue chombo Iryn !
Hata mama j nae hana hati
.kwa sabab kwenye stori hii alizaa tu hajaolewa bado.so why iwe kwamba mama j aanze kuwa na hadh tofaut na prislka.? Wote wapo sawa.
 
Sema credit kwa iryn hana majivuno ,haringi na anajitambua ...japo izo sifa wangepata baadhi ya watu hio kazi ndugu yetu angeshaachishwa zamani Sana KWA visanga alivompatia Boss lady
umeona eehh!! Bossi lady ni muelewa mnoooo! Afu kampenda jamaa ile real kwani hajafata pesa!! So jamaa amtendee haki princess wawatu!!
 
Hata mama j nae hana hati
.kwa sabab kwenye stori hii alizaa tu hajaolewa bado.so why iwe kwamba mama j aanze kuwa na hadh tofaut na prislka.? Wote wapo sawa.
Mama J ni mke mkuu japo hawajafunga ndoa na Ndiomana kila mmoja anajulikana kwa ndugu wa mwenzie unamkosea sana mama J kumlinganisha na Priska!
Mama J wanetoka mbali sana wanashirikishana na wamefanya mipango kibao ya maendeleo wee Priska hana hadhi ya mama J ashendweee!!
 
Yaani hadi raha .....unakuwa dunia nyingine kabisa unasahau kuwa una ndoa tayari...
Mfyuuu!! Ona unavyofurahia kuhalalisha hahaa!
Najiweka kwenye position ya mama J naona kabisa nawehuka kwa kuchanganyikiwa !
Nahisi mama J ataondoka hawezi kibali hili!
 
Itakuwa hajasoma story yote vizuri huyu Kuna mahali Insider anamsifia mama j kwamba Ana akili na Wana biashara nyingi ambazo source ni mama j
 
Hapo ulipomkemea nmecheka cousin 😁😁😁😁😁
Ndiwooo cousin Priska unamfanishaje na Maza house weeeh! Hata kama Insaida atamchukua Iryn mama J ana status yake!
 
Mfyuuu!! Ona unavyofurahia kuhalalisha hahaa!
Najiweka kwenye position ya mama J naona kabisa nawehuka kwa kuchanganyikiwa !
Nahisi mama J ataondoka hawezi kibali hili!
Mama J ataondokaje wakati hakuna sehemu alioshirikishwa kuhusu mambo yake yote na Iryn πŸ˜‚.....na Iryn alienda masomoni pia ...
 
Prisca hawezi fananishwa na mtu ndyo maana kaachwa baada ya kuleta dharau za kitoto
Ale matunda ya kujirahisisha kwake na apambane na matatizo yake no way ndio ilipangwa hivoo!

It hurts more ameachwa kipindi cha matatizo mimba imetoka na katumikaaa weeeee dahh wanaume hawaaπŸ€ πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ!
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji28] ni kweli kabisa ingawa visa ni vingi, pesa inabaki kuwa sabuni ya moyo. Kuna mama aliendaga ulaya kusoma akazama kwenye penzi na mzungu. Yaani alihamishia watoto wake wote ulaya na kumuacha mzee Baba kufa kwa kihoro kikubwa[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]alimtelekeza mume orijino na mzee wa watu kila akitaka kuhamia huko anapigwa kalenda. uzuri mzungu alikuwa na njuluku za kutosha hivyo watoto wakafaidika na pussy ya Mama yao
[emoji2961]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…