Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 67,252
- 168,563
wengine hawako kama ww, kuna tour guider mmoja alikutana na mama mjane wa kizungu yuko loaded kiquma yaani, mama akamwelewa mwamba na akamchana live anataka kuwa naye, mwamba ana mke mchaga, akaenda akamuuzia mke mchongo, mke akamuuliza kwan anatala umuoe, mume, hapana anataka tu mahusiano, mke, una uhakika ana hela? Mume, mke wangu yule mzungu ana hela kiquma, mke, imeisha hyo, babaa nenda kalete hela acha ufala,
Mchaga ametishaaa 😂😂😂😂!