Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Nitarudi,,,,,
 
Maisha ukiyachekea yanakuchekea, mtu akisinzia chukua nafasi. Maana hata alivyoiacha nafasi kuna mtu mwingine atakuja kuichukua that is how life is. Maisha inabidi uwe flexible na ukubali kuna muda hautokuwepo hapo ulipo.
Hapana mkuu mambo hayako hvo, nina mfano hai kabisa, **** jamaa alikuwa anasimamia project fulani basi akamwita jamaa yake akampa kazi ili angalau mkono uende kinywani maana jamaa alikuwa vibaya na ana familia pia. yule jamaa alikuja msinitch jamaa yake kwa mabos akafukuzwa na jamaa akakabidhiwa ile project, jamaa aliyefukuzwa alilia kama mtoto baada ya kujua vle usaliti. haikuisha hata mwaka ile project ikafa chni ya mikono ya yule msaliti. aisee ukimuona huyo msaliti kwa sasa vtamuonea huruma, haijulikani anaumwa au haumwi, kachanganyiwa au hajachanganyikiwa, yaani yupo yupo tu.
 
Hapa kwenye mada ni kuwa Uncle alizembea kazini jamaa akawa anafanya kazi vizuri kumzidi uncle. Hajamsemea uncle kwa bosi ni utendaji wake ndio umemfanya bosi amekubali. Kwenye maisha sio kila kitu utapewa. Ukionekana una uwezo na unajiamini piga kazi chukua fursa. Hili kitu watu waliosoma sana tunashindwa kuapply. Maana sisi tunaamini katika system. Lakini maisha hayapo hivyo. Wewe unapiga kazi na unaweza wa kudeliver na haki yako unaona haupewi chukua maamuzi. Hakuna atakayekutetea maisha ni yako mzee. Kuna watu ni matajiri wakubwa Tanzania lakini walifundishwa biashara na mabosi wao. Wakaona wapi boss anafeli, wakarekebisha wakafungua magoli yao. Unaweza kuamini mzee wa Tommy Milk alikuwa anauza duka la spare la mtu. Lakini alijifunza huo biashara na ndio iliyokuja kumtoa. Namaliza maisha hayana huruma.
 
sawa mkuu hyo ya kup4a kaz na kudeiiver sina ubish nayo, ninachochukia ni mtu kumsinich mtu ili achukue nafasi yake, endeleeni mkuu, kwel mkuu maisha hayana huruma na mifano yako ni kwel kabisa.
 
mbuyuni hiyo karibu na mtei factory hapo inatafutwa africana.
hata ukipiga picha mtaani kwako ntapajua tu dar nimeimaliza.
Hahaha.. people mnafungua code tu..
Nakazia uelekeo ni Glamhour saloon...
 
Nami nichangia kwa kuomba ushauri kidogo.
Hii incidence ya Mary kumpenda INSIDER MAN kimapenzi ilhali akijua kuwa jamaa ameishakuwa na mahusiano na mdogo wake wa kuzaliwa tumbo moja kimaadili imekaaje wakuu?
Mimi sio kama INSIDERMAN ila ninakabiliwa na changamoto ya dada mtu kunitaka kimapenzi wakati nilishakuwa na mahusiano na mdogo wake hapo kabla. Kwa sasa hatuko pamoja ingawa bado anaonyesha hisia waziwazi.
 
Kuweni matured, sioni sababu ya kutukana humu ndani. Kama mtu hajitambui ni bora uka achana naye lakini sio matusi.

Mimi nachofanya kwasasa ni kublock wote wanaotukana
Wengi humu wapo stressful na maisha ndo hao wanaojirushaga kwenye maghotofa Sasa ndo baadhi Yao wamevamia huu Uzi.Wapuuze kaka Insider
 
I'm glad to hear that Irene's underwear has been removed. Whether it's a made-up story is none of my business, but he knows the truth himself.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…