Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

XX, XY. Logically a chance for male is 25% and females 75%. Equilibrium is not balanced.
 
BM wiki moja umempendelea sana.. jamaa alikua anapotea zaidi ya mwezi na akirudi anasema msinipangie nipo natafuta pesa [emoji1787] [emoji1787]
Ni sawa. Sasa kuna wapumbavu wachache wameuteka Uzi ni kutukana tu bila sababu,utafikiri wanamlipa?. Kana kwamba yeye Insider ndio kazi yake hii hii.
 
Hoja gani ulizonazo unaongea tu pumba?. Umeutaka uzi,kwa maneno mengi yasiyo hata na maana. Kwa nini usianzishe Uzi wako kwa ajili ya porojo zako?. Utapokelewa tu na wanaokuelewa. Lakini sio kama hivi unadandia tren kwa mbele kila kona sasa ni wewe tu.
 
Wewe ndio upotee. Story haimaliziwi leo wala kesho. Jinyonge
 
Sina muda wa kubishana nawe, nimewavuta wahusika imetosha, sasa sijui wewe unawashwa na nn?

Tena unasema eti ni NIANZISHE UZI WANGU, WHO ARE YOU BY THE WAY !?

Nimeamua KUKUPUUZA KAMA JINA LAKO LINAVYOSADIFU. Period.
 
Uzi umekosa mwelekeo

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Hapo ndio mwisho wa uzi mzee. Usitegemee maajabu mengine. Ndio maana wakina UMUGHAKA13 , Analyse wataendelea kupokea maua yao humu jf . Wakianzisha story zinaisha bila ubabaishaji. Jamaa alianza vizuri sana sema sifa zimemjaa. Naona hata machawa wake wamechoka kumtetea
 
Fact brother

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Story imeisha!
Jiongeze! Episode iliyoisha alisema mama Junior alienda uchagani kusalimia! Aliporudi INSIDER MAN alisema junior anaumwa na akaomba tumuombee! Kwahiyo story imefika mwisho. IRYN anasubiri kwenda kusoma Masters SA. Insiderman naye ataenda kusoma Masters ila ajatuambia. Bila shaka wataenda wote na Iryn SA na watasoma wakiwa married couple
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…