Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Tuseme hujawahi kucheat?
 
Utabiri wangu unaenda kutimia, Iryn will die, hauwezi ukaandika story ya kumkumbuka mtu ambaye bado yupo hai.

Baada ya Iryn kufa, pasi anapewa Mary. Kwahiyo hadi hapa story ishaisha, tunataka tujue TU Mary atailiwa vipi, Iryn tushajua alivyokufa
 
Melia nilikaa siku tatu Kwa nyakati tofauti tofauti niseme tu wale jamaa wanajua wanachokifanya, kuanzia mazingira, wahudumu, vyakula na vyumba vyao, wako vizuri sana.

Bahati mbaya sana Mara zote hizo nilikua peke yangu bila mwenza.


 
Ndugu yangu, unatakaa ukae hotelini na nani tena wakati wewe ni "MONK" ? [emoji1][emoji1][emoji1]
 
Ndugu yangu, unatakaa ukae hotelini na nani tena wakati wewe ni "MONK" ? [emoji1][emoji1][emoji1]

Monk ni hapa JF Mkuu, kama wewe ulivyo muuza ubuyu hapa. Lakini uraiani nna familia kabisa. Nilitamani tungekua na wife ratiba zikagoma.

Hata wahudumu wakawa wanauliza kwanini nipo peke yangu? Kidogo tuyajenge na mhudumu mmoja ndio nikakumbuka mie ni The Monk

Hawa Melia hata Ile ya Arusha wako vizuri. Sio mpenzi wa kula sana ila Hawa jamaa ukienda kwenye sehem ya vyakula unachanganykiwa. Ngozi ilinawiri siku mbili tu.

Melia Arusha





 
Aliyepata ajali si iryn kwan hapandag boda!

Hua anapanda mara moja moja soma episodes zilizopita. Sijajua walikua mahututi kiasi Gani lakini ni rahisi sana Iryn kuomba Insider apigiwe kuliko Asmah.

Acha tusubirie episode inayofuatia.
 

Unampaka ryn mate ili kuingiza mkuyenge wako ewww we nae kumletea fungus tu hio michezo ya vitoto sio wakongwe kama wewe
 
Dah INSiDER MAN kaitaja Gran Meliá kanikumbusha mbali, once nililala Meliá Arusha ,hizo hotel ni balaa buffet ,rooms kila kitu automated ,lights ,shower ,TV ni balaa. I still dream about the hotel
Kabla hujafa inabidi hizi Bata za Dunia uzionje
 
Humo ndani panashawishi mizagamuano ya kimataifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…