Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Poa poa The Monk , sijawahi kwenda kwenye hotel hizo lakini next month naenda kwenye Conference itakayofanyika hapo Gran Melia - Arusha, itabidi nika enjoy mema ya nchi. Make si kwa mapicha picha hayo [emoji4][emoji4]
 
Poa poa The Monk , sijawahi kwenda kwenye hotel hizo lakini next month naenda kwenye Conference pale Gran Melia - Arusha, itabidi nika enjoy mema na nchi [emoji4][emoji4]

Arusha pazuri nimeweka baadhi ya pcha hapo chini. Jiandae Kwa misosi tu.

Uzuri wa Ile ya Zanzibar ni beach, mpangilio wa vyumba ( Villars), restaurants, Wana eneo kubwa sana ni sehem nzuri mno Kwa couples.

Kila la kheri kwenye conference Mkuu.

Utafanya mafekeche ya "iryn" huko Arusha au utaendeleza kuuza ubuyu peke Yako?
 
Asante sana kwa kunitakia heri mkuu. Kama mwanaume mafekeche ya "Iryn" yanatamanisha sema umri umeshatutupa mkono mkuu, hivyo inabidi tuwe wapole tu mengine yatupite [emoji1][emoji1]
 
Asante sana kwa kunitakia heri mkuu. Kama mwanaume mafekeche ya "Iryn" yanatamanisha sema umri umeshatutupa mkono mkuu, hivyo inabidi tuwe wapole tu mengine yatupite [emoji1][emoji1]

Umechagua fungu jema Mkuu. Kuna kipindi kinafika kwenye maisha unaona Bora baadhi ya mambo yakupite ili mambo yasiwe mengi.
 
Una umri gani Mkuu ?
 
Duuuh....! Tena?. MUNGU awaepushie.

Hii ilikuwa double. Ilikuwa ndefu sana . Usilete tena miezi mitatu mkuu
 
Mkuu fanya uende na ya serengeti aiseeee hawa wapo serious na biashara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…