Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Utabiri wangu unaenda kutimia, Iryn will die, hauwezi ukaandika story ya kumkumbuka mtu ambaye bado yupo hai.

Baada ya Iryn kufa, pasi anapewa Mary. Kwahiyo hadi hapa story ishaisha, tunataka tujue TU Mary atailiwa vipi, Iryn tushajua alivyokufa
Sio kweli kwenye episode za nyuma kuna sehemu kasema iryn anampenda junior adi Leo hii
 
Nishingap kwa siku hiyo melia hotel
 
Hongera sana mkuu kwa kutuwakilisha vyema kiumeni [emoji1][emoji1][emoji1]

Mwezi wa 11 mwishoni lazima uende South Africa ukamkamue tena ili aendelee vizuri na masomo [emoji1][emoji1][emoji1]
hajawakisha kiiivyo, hukumbuki kuna sehemu aliambiwa "babe jana sijaenjoy kabisa" hv hyo statement uliichukulia kwa uzito wake, ina maana demu aliingia gharama akiwa na matarajio makubwa, hakuyaona, akashtuka akaona mbona kama pesa yangu inataka kwenda bure, ndo akaona amstue jamaa, sijui sasa kama baada ya kuambiwa hvo alifanya kweli au alishia tu kusema "leo utaenjoy swirry" sijui
 
Nishingap kwa siku hiyo melia hotel

Bei zinategemea na msimu. Wakati wa watalii wengi zinakua juu. Pia inategemea aina ya chumba unachotaka. Mara ya kwanza nilienda mara baada ya corona kupungua hotel zikafunguliwa nikapewa discount usd 500.
Kuna vyumba Hadi vya usd 10,000. Sijui wanaita suit takataka gani.
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] mwamba unakaba sana
 
Aliyesema ivyo ni insider ndo alimwambia Iryne baada ya jana kutokupiz wakati wanasex. Kuwa makini mkuu kusoma story
 
Aliyesema ivyo ni insider ndo alimwambia Iryne baada ya jana kutokupiz wakati wanasex. Kuwa makini mkuu kusoma story
Waalimu wanakazi sana asikuambie mtu waache tu wawe na hasira wakisikia bodaboda wanawapita kipato [emoji16][emoji16][emoji16] kunawatu wapo kwa ajiri ya kutoa wenzao kasoro yaani wapo humu ili kutafuta insider atajikaanga wapi wammalize.

Hawasomi kuelewa yaani wanasoma ili wabishe na hayo ndio matokeo yake
 
Ndo ivyo mkuu sema watu wapo kutafuta mapungufu ya jamaa
 
Wewe mwenyewe ndio my favorite. Hata kama Kuna sehemu kibao ulikua unauma-nje you ware still my favorite.

Mostly ni vile unaisaka pesa na uko serious on it hata hujaonyesha dalili za kuwa ngoswe baada ya warimbwende kufanya bidii ya kukukimbilia na umenifunza sana hapo

, ulinunua Bajaj kwaajili ya matumizi ya nyumbani na Mimi nimenunua pikipiki tvs ili kuondoa stress za matumizi ya nyumbani

kwenye somo la mbwa I was Frontline
Kusoma. Mimi ni mmiliki wa German shepherd longcoat. Ukiweza unaweza kuweka somo la kutunza mbwa ili wengine tujifunze zaidi

So far michepuko haiepukiki. Nimejifunza kuongeza care kwa mchepuko pia.

Keep it up INSIDER MAN
Who is your favorite character in the story? So far and why
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…