Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Nikiri wazi huu uzi umenifanya najiona dhaifu sana.

Story ya jamaa na prisca ni exactly same na story yangu na demu fulan. Insider na prisca jinsi walivo, tabia na mahusiano yao hata mimi ni hivo hivo.

Nimeoa nna mtoto 4yrs.
Na nna demu ambaye last yr ndo amegraduate chuo. Tabia zake na mahusiano yetu yanafanana na prisca almost kila kitu. Tatizo linalonitatiza ni moja.. Insider ameweza kumpa kibuti prisca. Lkn wakuu mimi nashindwa kabisa..

Moyoni siyataki mahusiano haya, nachukia kabisa, tatzo nashindwa namuachaje huyu demu. Sina ujasiri wa kupiga kibuti km alivofanya Insider.

Mfano leo hii tuna appointment. Demu anataka tuonane falagha.. Yaan toka asubuh sina raha kabisa.. Sipendi kuonana nae wala sina hamu naye. Na nshamkwepa sana hapo kati kila tukitaka onana naibua sababu za uongo mpaka nmeishiwa sababu.

Basi nashindwa kumuacha sababu najua ataumia sana, atapata stress.. Inanicost sana
 
Who is your favorite character in the story? So far and why?
Mzee Pama R.I.P, Kwa kweli nimemkubali Kwa jinsi alivyokua ana upendo wa kweli kwako, naamini hata Kwa wengine ashawatendea wema n kuwafungulia milango Ili nao wapate kufanikiwa.

Lakini wewe pia ni taswira halisi ya vijana wenye nidhamu, upendo na kiu ya mafanikio, unanipenda familia yako, unajali wazee wako na unaishi poa na Wana bila kujali umri na Hali zao kiuchumi. (Ref. Masai ulompa 300k Kwa ajili ya mkewe alojifungua, mama wa getini kwe apartment ya Iryn ulomuachia funguo ya gari nk.)

Wahusika ni wengine na pia Wana mazuri yao
 
Duh!
Nimeamini kuwa sio lazima uangalie porn ndo mzee Baba aamke, hata maandishi yaliyoandikwa kistadi yanamwamsha aliyelala [emoji12][emoji871]
 
Pole sana, masaibu matatu mazito, kutekwa kwa Irene, mimba ya Prisca, na kufumaniwa na mkeo ktk picha za Irene. Lakini ngoja nikuulize kitu, kwanini ukifika nyumbani ni lazima uoge kwanza?
 
Pole sana. Mbona simple tu mdogoangu?. Kama huna mtoto nae,Kwa miaka hii ukiwa wazi kwenye mahusiano usigeuke nyuma. Mfano huyo mtoe out mchane live tu kwamba huna raha na hayo mahusiano unaomba umpe nafasi acheck mahusiano mengine. Inakuwa imetoka hiyo. Ni kweli ataumia kwa muda mfupi lakini atakaa sawa,atamovie. Lakini ukiingia kichwani kwake kama hivyo unajali ataumia,utaendelea kuumia wewe
 
Mtuombee sana wanaume, tunapitia mengi sana.
We are praying for you dears, Nanyi pia mjiombee jamani lakini na mjue wake tunaumia sana mkisaliti hasa akiwa mke mtulivu kwa mumewe daaahhπŸ™ŒπŸ™Œ yani inaumaaaa ndio maana nimempenda Iryn lakini sijamfurahia hasa nikivaa viatu vya Chagga girl wetu mama J
 
Oohhh pole mkuu pole sana Mungu atakupa mwingine, I know the pain I also lost my son last year October kama hii and was my first born. Usijali tushukuru kwa kila jambo and let's move on ninaamini yajayo yanafurahisha.
 
Kazi ya maulana,
Haijawahi kuwa ya makosa,
Kikubwa ni kumuombea,
Lakini pia kujiandaa,
Maana kifo ni safari yetu sote.
 
Pole sana, masaibu matatu mazito, kutekwa kwa Irene, mimba ya Prisca, na kufumaniwa na mkeo ktk picha za Irene. Lakini ngoja nikuulize kitu, kwanini ukifika nyumbani ni lazima uoge kwanza?

Mkuu kuoga ni jambo la Afya, kila nikirudi home cha kwanza ni bafuni sababu na mtoto mdogo afu nilikuwa nafanya uber nakutana na watu tofauti, napita mazingira tofauti.

Kabla ya kucheza na mtoto lazima nikaoge kwanza na kiafya inashauriwa hivi.
 
Iryn huwezi mpata IG
Kwa hapa tulipofikia kama ukitaka kumjua irene unamjua tu.
Sema ndo hivyo hata ukimjua hakuna cha maana utakachokigundua.
Yaani ndani ya hii thread kuna nukta kibao za kuweza kuwajua wahusika wote
 

Pole sana [emoji120]
 
Bablai kuna lile lile ligoma la lil vin anasema ukinichit ninakuchit tit for tatπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Hahahahaaaaaa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ weeee tit for tat πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ nimejikuta mpaka nasikia hiyo tit for tat
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…