Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Pole sana, masaibu matatu mazito, kutekwa kwa Irene, mimba ya Prisca, na kufumaniwa na mkeo ktk picha za Irene. Lakini ngoja nikuulize kitu, kwanini ukifika nyumbani ni lazima uoge kwanza?
Alishajibugi hilo swali...... endelea kusoma story
 
Mwambie umekutwa na virusi vya ukimwi 😂 🤣
 
Pole sana, Mungu atakupa mwingine kwa wakati wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…