Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Tafuta rafiki Yako amtongoze akiingia king kwa jamaa we unatembea speed ya light. Ila kama ulipata ujasiri wa kuanzisha safari ya mapenzi unashindwaje kuisitisha? Zingatia kuepuka kusababisha maumivu kwa watu wengine hapa duniani.
 

Mwambie wife kaona msg zenu imekuwaa msala mkubwa,inabidi kusitisha kwa muda ili asije akakuletea matatizo zaidi,so mpeane break kwanza mpaka mambo yapoe.
Then baada ya hapo unasepa mazima
 
Tutamkanda sana huyo the blues hana nguvu...
Hivi Heineken huwa ina ladha tofaut na hizi local beers kama serengeti lager?

Ladha tofauti mkuu, kwanza heineken unatumia mwenyewe ukimaliza chupa inatupwa jalalani, hizi local chupa zinaoshwa sometimes hawaoshi vizuri unaweza kuta hata nzi ndani ya bia, wewe fanya Research ya local beers.
 

Mwambie wife kaona msg zenu imekuwaa msala mkubwa,inabidi kusitisha kwa muda ili asije akakuletea matatizo zaidi,so mpeane break kwanza mpaka mambo yapoe.
Then baada ya hapo unasepa mazima
 
Huu uzi kipengele unawezachungulia ukakuta server zimejaa ukahisi dereva wa uber katupia liepisod wanaligombania, kumbe raia wameamua tu kujadili maumbwa mara watupie mipichapicha ya Iryn hujakaa sawa sasa ni muda wa kuijadili Heineken, Balimi na Chimpumu bila kusahau Kisungura
 
Hahahah una kaujuaji kidogo kaka
 
Nikiri wazi huu uzi umenifanya najiona dhaifu sana.

Story ya jamaa na prisca ni exactly same na story yangu na demu fulan. Insider na prisca jinsi walivo, tabia na mahusiano yao hata mimi ni hivo hivo...
Daaah! Yani inaonekana ulipomtongoza ulimtongoza kimasihara sana..
 
Episode za sasa nawapa ndefu sana lakini bado watu wanalalamika [emoji1544][emoji1544].

Enjoy fans, tukutane EP 68, iko jikoni
Ee eeh jamani
Mwanadamu hatosheki
Hata ukimpa nini
Milele hataridhika 🎶


Wimbo wa kitambo sana huu 👆
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…